@najlafuadahmed:

Naj ||| Thrift & Mawaidha 🤍
Naj ||| Thrift & Mawaidha 🤍
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 05 October 2026 13:24:25 GMT
114166
18542
473
663

Music

Download

Comments

amina.kazigo
Ukhuty Minah :
tusiache swalaa waislam wenzang
2026-10-05 15:29:20
540
haleema.37
حليمه🧕🎀 :
Niingize kwa group habibthy 🥰
2026-10-21 13:35:12
0
mayrah5058
Mayrah🧕🏻👄💄 :
Niipi hiyo salat ala nabii
2026-10-08 10:03:08
1
ifattz3
عيون جميلة🥹😍😘🎼 :
Bismillah 786 Hamdullah wallah nna ushuhuda 😭😭😭🔥🥰 Muhammad kuspecify tu unataka nn Hamdullah Waislam takbir 🥰
2026-10-06 03:37:29
99
zulekhaabubakar86
Zulekha :
Swalatu Nariya Ni ipi mwanangu
2026-10-05 19:06:58
38
ommyboy2541
Ommyboy#+254 :
MASHALLAH TAKBIR ALLAH AKBAR MASHALLAH (S.A.W)
2026-10-05 14:44:44
57
shushuu1579
Triple S❣️Mom of 3🥰😍🥰 :
Naeza soma nikiwa na periods
2026-10-05 14:35:06
15
jinguhaojue
JINGU HAOJUE :
Tukimaliza tufanye na hii combination ya Tahajjud+ istghfar +swala ya Mtume[Perfect score]
2026-10-05 14:22:32
71
monah_9_
kheri_ scent ✨️📦 :
Nyie mm tu namshukuru ALLAH na sina cha kumlipa zaid ya kumuabudu mungu Anajibu ukiomba kwa yakin na swala ya mtume ni balaaaaa
2026-10-05 18:03:22
31
bellissima.255
•Dimpless♡📚 :
Nifundishe habbty 🥹napitia mazito
2026-10-05 14:45:36
12
nuryayussuf
TasnimAbubakar@11 :
Swalatul Fahmi pia ina miujiza ...Allah anakupa ufahamu wa kila kitu kwa uwazi kuhusu maisha yako Idadi ya chini 11times in a day
2026-10-09 18:31:19
11
majeed.888
Mama Myra😘 :
jaman hii suratul naria mbona nimesoma ni ushkina na uislamu umekataza
2026-10-09 08:31:41
1
zabby.cake
Zabby Cake :
Alaf kuna Fat-ha moja tu jaman MashaAllah 🙌 hii ndo dawa ya Maumivu yote hiyo Panol na hizo dawa za maumivu zote zinakaa kimya🥰
2026-10-06 18:44:33
6
musabwengo
musa bwengo :
hizi group ni wanawake pekee
2026-10-05 13:36:51
3
tahajjudalhajjistghara27
Qiyam_Layl🤍🌙🇺🇸 :
jamn mi nataka mkee😁
2026-10-05 13:50:46
0
fatmarama1421
Queen Naj 😍 :
Tuambie ni Dua Gani,, alafu wenye hatujui kusoma kiarabu Itakuaje SI Kwa Ubaya Lakini 😔🥹
2026-10-05 23:25:32
2
yusayrahsabunwe
yusayrahsabunwe :
nnimepata mtoto nikiwa mgonjwa wa sukari alhamdulilah nimefanya siku 40 kila siku Mara 100
2026-10-07 16:44:14
3
hannu_b05
Hannan :
hiyo dua ni dua gani tuambie na sisi
2026-10-05 18:06:11
1
_thi.ma
buraq bakers :
assalam aleykum dada...Huwa munaisoma time gani
2026-10-05 19:50:26
2
binti_abdallah567
bintiabdallah :
mi Niko day 21 InshaAllah mwenyezi Mungu atanijibu🤲
2026-10-05 19:14:52
2
umrah243
اؤمرت بشير🎀💫 :
me naomba unable madhara ya kudate na mtu wa din tofauti, vip na swala yake inakubalika kwa allah?
2026-10-14 07:21:22
0
allyjuma244
Ummu salma :
MaashaaAllah sister, Allah Akuzidishie kheir nyingi. nkupenda kwa ajill ya Allah
2026-10-05 21:00:10
0
salhazubeir59
Sazuu59 :
Na mimi naomba kuungwa kwenye group
2026-10-05 23:50:41
3
mayra.9326
Mayra 93 :
inafanyika vip tufunze tusiojua
2026-10-05 16:10:24
4
ahmadmwitumbe
Akfar Ahmad :
Asalam alykum dada yang niingie kwenye group
2026-10-08 21:31:09
0
To see more videos from user @najlafuadahmed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About