@islamicswahilinet: SHEIKH AFICHUA MAZITO KWA WANAO VAA JEZI ZA AINA HII Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 13:39:21 GMT
348636
37207
415
1044

Music

Download

Comments

single.dady72
MAULID🌹🌹🌹 :
sivai tena sheikh wang
2026-10-05 16:16:17
39
alphachadali
CHADALI ONE :
Shule ni MUHIMU
2026-10-05 16:23:01
17
lukaku60936
Lukaku :
halafu huo sio msalaba ni alama ya kujumlisha
2026-10-05 17:55:37
40
frankmhema
FRANK :
kuzini halali kuvaa nembo ya Brazil haram si ndio
2026-10-06 05:21:36
15
willyb740gmail.com1
DE YOUNG BEARⓂ️ :
Tunapoelekea huku kila kitu ni haramu mm chochote navaa
2026-10-05 15:57:23
48
dr.ab3d.tz
Dr.ab3d Gagulah :
sheikh hata maiki imetengenezewa Brazil hiyo sa itakuwaje
2026-10-05 16:33:48
27
mr.mp26
MP.26 :
Uharamu wake nini? What is CBF
2026-10-06 04:06:42
2
nouh_ck8
Ibin Ck :
tukisema tuepuke vyote tutapanda punda kwenda mikoani
2026-10-05 18:17:13
23
samwelmaunyamaah
Mwekezaji💪 :
Sheik kwani Mungu anaangalia jezi au anaangalia moyo
2026-10-05 17:41:50
15
its_benjamin47
NDEVU :
Kwaiy Mnataka Tutembee Uchi Au Maana Hadi Nguo Haram Duuuh
2026-10-08 19:36:01
6
a.k.a.dundo.tz
thedon boys :
kitabu gani imesema jezi kuvaa.alam
2026-10-05 19:36:07
9
bymkuruto
Me🤕 :
Humu kama mtu ni Muislam kweli basi ataelewa nini anacho kimaanisha huyu Shekhe, Ukiwa na yakini kweli ya nini maana ya Uslamu bac tutafuata misingi yote ya dini yetu, lkn tuupendeni Uislamu wetu jmn mbona dini yetu ni nzuri lkn
2026-10-05 16:30:55
7
senior_naftari
@Senior_Ben :
Brazil kuna waislamu kibao na hizo wanavaa ila anyways sina neno
2026-10-05 16:27:46
6
mandelasout
FINEST DRIVER :
mbona umeingia nayo sasa
2026-10-05 16:32:21
8
user7480498887576
No causes :
huo sio msalaba shee
2026-10-05 15:10:55
9
pharddyalfah
𝗗𝗘_𝗔𝗟𝗙𝗔𝗛𝗔𝗗🐪💨 :
Allah atujaalie elim na ufaham
2026-10-05 13:53:23
5
deusyohana123
Deus.m.i🦎 :
lakini si rebal ya brazil dah shekh
2026-10-05 19:22:19
0
sure_for_asure
It's shuu :
mbona hii jumlisha au mi c jui
2026-10-05 18:57:27
6
dullyhassan7
Dullinho :
Allah analipa kulingana na nia ila bado huo sio msalaba
2026-10-05 16:11:55
10
user9881395130329
said omary :
duuh nilikuwa sijuh wallah na ndio nikiswalia kabisa yaaNi
2026-10-05 13:43:33
7
moseskimario2
MOSES KIMARIO :
Allah atupe mwisho mwema
2026-10-10 22:13:21
2
shafii.khan47
shafii khan :
astakafirullah
2026-10-06 20:46:26
3
esther.official87
Esther official :
manina we shekhe kweli yani
2026-10-09 10:43:54
0
burhanfeysal
@Burhan :
za Brazzaville
2026-10-07 11:18:56
2
www.razak.co
💨🔥RAZAK MC :
TULIO MUELEWA SHEKHE TUJUANE
2026-10-10 17:51:46
2
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About