@salmasaid_znzyetu: Chama cha ACT Wazalendo leo kimetoa taarifa ya kulaani kitendo cha kinyama alichofanyiwa mwanafunzi wa darasa la tisa mkaazi wa Kwale Mpona Wete Pemba, Raiyan Hemed Nassor na kutoa wito kufanyika uchunguzi wa tukio hilo
mbona.cjaona wizara ya emu kulaanibwala wazir wa vijana
2026-10-05 14:48:28
2
Yamal ElectroTech Desgn & Repr :
Duh ...Innocent Rayyan[Crying]
2026-10-05 19:28:11
0
mayasasimai :
Omo akajenge yy school
2026-10-05 17:28:36
2
mariam :
allh atupe subra kw kweli
2026-10-05 15:02:04
5
Shainona :
Innalilah waainnailah.rajiun
2026-10-05 14:56:02
4
thania :
daah me pia nmeskitik mwish nikalia jmn 😭😭😭
2026-10-05 17:49:17
2
Tik Toker :
inauma sna jmani
2026-10-05 15:12:28
4
Shufaa001 :
Wallah naumia sana
2026-10-05 14:47:05
3
prodact :
uhakika watu wanaona kawaida
2026-10-05 16:16:33
2
yakoub :
pole sana mzazi
2026-10-05 16:10:58
2
Abdul malik :
mungu ampe kauli thabit na awape subra wazazi wake amiin
2026-10-05 16:30:02
2
Bin Rshid :
tena sana
2026-10-05 14:32:23
2
no profile :
innalliilahi wainnaillahi rajiiun Serikali tunaiomba maoni ya chama cha Act na wananchi yafanyiwe kazi.
2026-10-05 18:22:18
1
user5624100452297 :
Ni jambo la kuskitisha sana kuona hakuna wizara hata moja iliyoonesha kulaani tokeo kama hili kana kwamba aliedhulumiwa hakua mmoja wa binadam,serekali nayo ipo likizo,justice for Raiyan
2026-10-05 18:44:32
1
thania :
daah nmelia san
2026-10-05 17:51:18
1
raisamussa :
Inshaallah mwenyezi mungu awape subra wazazi wenzetu ni msiba wetu sote
2026-10-05 15:40:48
3
MPEMBA OG :
Viongozi wawajengee skuli yao na wakubwa waekewe usafiri
2026-10-06 03:22:47
0
BAZAAR :
HAIKUBALIKI TULAANI KWA PAMOJA SERIKALI ICHUKUWE HATUA KWA UKATILI HII
2026-10-05 14:50:35
5
Maestro :
ili niwe n amani niamke niskie wahalifu wa huy mtot wamekamatwa
2026-10-05 14:54:26
5
Bwam muu :
isomwe Dua ya albadir na iliwe nia ya wote waliojihsisha apo kwa uwez wa Mungu mwez hu hu washptikn Mana albadir haina huruma kbs
2026-10-05 15:09:31
3
Idd Said :
reast in peace
2026-10-05 17:31:36
1
Yahya Mbarouk Moh'd :
😫😫😫😭😭
2026-10-05 18:49:21
2
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.