Allah amuhifadhi sheikh wetu Abdallah humeid na masheikh wote wa daawat salafiyah ili tuzid kunufaika na elimu zao
2026-10-06 07:54:58
4
user5515481672753 :
Allah amhifadhi shekh Abdallah Humeid
2026-10-06 05:12:22
1
WasBujra🌹 :
Wakumbuke kuna kaburi na siku ya kuhesabiwa hakuna atakae kuwasaidia watajua hapo manake tumepewa akili na tumefundishwa na Mtume Mohammad (S.A.W)
Shukran Wajazakaa Allah Kheri.
2026-10-10 12:02:14
0
Ally Hakim :
mashallah tatizo lako huji na vitabu allsh akuongoze
2026-10-06 14:24:26
0
Omari Shaibu :
MAKOSA UNAYAONA WEWE..
WENGINE KWAO SIO MAKOSA..
KWA UFAHAMU WAO SIO BIDAA
2026-10-05 17:58:09
0
عبد الباسط :
haki lazima ibainishwe na batwil inyamazishwe
2026-10-14 16:04:29
0
salasaftermath :
maulidi ni shirki
2026-10-06 06:52:29
0
KAMZOZO 9 5 7 :
🥰🥰🥰
2026-10-06 05:44:18
0
To see more videos from user @abuunabil_30, please go to the Tikwm
homepage.