@binaupdates:

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 14:33:24 GMT
31336
1166
23
17

Music

Download

Comments

user6069458679036
hamisi gabwa :
mangungu atuache
2026-10-30 17:42:55
1
miriam.hatun
Miriam hatun :
ila shabani shikamoo nakupenda buuuure
2026-10-30 06:02:01
1
.anani4
Tobiasi :
KWAHILI SHABANI NAUNGANA NA WEWE MO ANATOSHA HATUITAJI MTU MWINGINE. NAKUUNGA MKO SHABANI HAMISI. WAKARIAKOO
2026-10-05 17:13:52
5
vivian.tinda
Vivian Tinda :
sasa mim sioni shida ikifuatwa katiba
2026-10-06 11:22:27
0
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Kweli kaka.
2026-10-30 17:14:37
0
mascosalum
Mascosalum :
kumekucha
2026-10-05 15:57:52
4
masakamasak516
masaka :
kweli kaka
2026-10-30 05:21:27
1
livingstonemiramb
Livingstone willy :
simba ni timu mkubwa na uhakika hata Mo akiondoka atakuja mwingine tumieni akili simba 😁 Mo mtu wa maslahi angalieni hata wakati wa usajili 😁 HAYA SIKILIZENI WATU WANAULIPWA HUKO
2026-10-30 21:15:11
0
francispeter498
francispeter498 :
Hilo zee ndio jasusi la yanga alikuwa anatutoa kwenye focus ya mechi ya leo tudondoshe point
2026-10-29 20:29:30
3
mr666justinekachewa
Mr 666 justine kachewa :
mangungu chawa wa yanga
2026-10-30 05:34:25
2
user2433226636521
Jullyhb Diwan :
kila ikikalibia mech na Yanga tunaanza maneno kwan nan katuroga au mnapewq hela na injinia
2026-10-05 22:29:24
1
ibrahmsimbazi
Ibrah msimbazi :
yaani mashabiki wa yanga wanataka Mo aondoke simba halafu wanamtetea mangungu abaki simba😂😂😂wana maslah gani na mangungu?
2026-10-30 16:35:33
0
user183718505
user711235653081 :
Mnahela ninyi wapiga kelele jaman
2026-10-30 14:54:19
0
mapoda.ernest
mapoda ernest :
hili ndio tatizo la waafrika wanajali ma2mbo kuliko haki wewe kwa nn mpaka leo simba haina wanachama wapya
2026-10-06 09:38:42
0
coeurumef
KING 🤴 F :
Mangungu afukuzwe Simba . yule sneachi kashaona . Simba wanaweza kufanya vizuri kwa forme walionayo . So malengo yake ni kuiona inafanya vibaya ndo maana kila siku analeta vurugu .
2026-10-30 10:14:00
0
anyo.machupichupi
Anyo Machupichupi :
mangugu atuachie tim yetu
2026-10-30 18:19:45
0
msalanji124974
MSALANJI 12 :
kwanini mangungu hawezikutoka nakuiacha Simba au tunamuogopa mangungu
2026-10-30 12:30:44
0
vivian.tinda
Vivian Tinda :
kwani nan kasema mo aondoke
2026-10-06 11:21:40
0
user54758533944378
john :
@
2026-10-06 02:13:22
0
eddymgen
eddymgen :
😳😳😳
2026-10-30 09:27:26
0
ezbon.elisha
Ezbon Elisha :
😂😂😂
2026-10-30 12:11:11
0
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About