@ashuucakes0:

Ashuu cakes,gift and more
Ashuu cakes,gift and more
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 14:33:37 GMT
39722
988
626
48

Music

Download

Comments

baltajr07
BaltaJr :
buter cream recipe
2026-10-06 18:49:43
0
shashma3
pink leopardAsha Mohammed :
mmi keki yng haijai trea haivimbi sana
2026-10-06 08:43:33
0
esterlinah83
esterlinah :
vipimo my nielekeze nijifunze
2026-10-26 08:54:16
0
luqnor
📎 LUKNUR 🕋 :
mm mbona keki zetu hazichambuki kama hivyo na haziwi laini kama hivyo?
2026-10-07 18:30:05
0
cute_dida_26
Dida cute😍💖 :
Naomba darasa
2026-10-25 15:16:01
0
hiddyhassani
Hiddy Hassani :
nisaidie kupamba keki kunifundisha
2026-10-21 21:29:45
0
khairamohd
khairamohd :
vinegar Ipi nitumie?
2026-10-09 09:51:32
0
user4178495568320
Mgaya cakes kibao :
inapasuka sana
2026-10-09 09:10:59
0
galaxy.bebey
galaxy.bebey :
Ni kit gan cake inafanya iwe spongy isiwe kavu n nikitu gn knchofnya keki kuwa ngumu pemben
2026-10-07 00:22:42
0
user2070561228292
Alluws_cake :
natumia sukari nyeupe lakini cake haitoki nyeupe, inakuwa kama njano kwa mbali shida ni nini?
2026-10-06 14:24:36
0
black.pearl8526
Black pearl :
kipenz naomba receip ya keki robo na vipimo vyake maana mm nahc nakosea kwenye vipimo inaiva vizuri lakini haichambuki
2026-10-11 06:52:28
0
swabrahassan835
Swabra Hassan :
nikipika keki haipandi saana
2026-10-07 13:16:36
0
didaa3509
didaa :
arki ipi nzuri niweke na ili iwe sponj cake nifanyeje maana
2026-10-06 11:05:45
0
mii33949
anty Mii@ :
vinegar kwenye keki inasaidia nn, alafu nisaidie kupata keki mchambuko, alaf kwann nikipika haivimbi na inaiva vizuri tu
2026-10-07 07:55:39
0
shakiraamir482
Shakira Amir :
Mimi keki nikipika azijai nifanyeje
2026-10-06 10:09:47
0
nady_cakes
Nady_cakes :
mi naomba receip tu
2026-10-07 06:20:17
0
user6185950981575
user6185950981575 :
natamani kujifunza kupika keki
2026-10-09 13:33:11
0
user2550192530849
monah cakes and bites🍰 :
me keki yangu haichambuki vizuri
2026-10-06 06:15:18
0
mrs_kassim97
Moza Saleh :
me naomba recipe yako
2026-10-12 08:14:31
0
user5827691151356
user5827691151356 :
Mie aichambuki vizur
2026-10-29 18:19:29
0
fatmamwendokas
fatmamwendokas :
Allah akubarik
2026-10-08 18:01:17
0
young.melody8
young melody🎙️🎙️ :
naomba recep tuu😢😢
2026-10-06 12:38:49
0
chalalii7
chalalii :
mimi naomba kujua cocoa gani umetumia
2026-10-07 05:31:52
0
mwana8314
mwana :
mm naomba respice yako
2026-10-07 04:49:50
0
judytrophy
judytrophy :
mimi napika sponge cake ila haina ule usponge ambao naonaga watu wanaonyesha ukiibinya inabinyika ila inakua tu imeiva vzuri na tamu tatizo ni huo usponge hauji kwenye cake zang kingine jinsi ya kupamba jmn na kutengeneza zile mara za midol cjui nyumba siez kbs
2026-10-10 13:26:59
0
To see more videos from user @ashuucakes0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About