jamaniiiii hii ilikua zaidi ya kuimba mtu ad unasisimuka aisee🥰🥰 was so nice
2026-10-05 18:26:39
7
Benedict Mnyasumba :
ndugu zangu namshukuru Mungu kwa ajili yenu, kwa sababu hapa Tanzania haijawahi kufanyika Concert lenye sound quality kama hii, na waimbaji wakatenda haki hivi. hongereni sana 🔥🔥
2026-10-05 20:10:26
1
Edda Edda Edda :
waliokosa hii ,next time wasikose 🥰🥰🥰🥰
2026-10-05 20:34:28
0
pendolina🦋 :
Mnaimba vizuri sana , Mungu awabariki
2026-10-05 14:46:30
3
MAFIOSO :
hizi level za hizi shows zinaperformiwa kwa mabilionea, na mimi ntakuwa nahudhuria coz am the next billionaire🙏
2026-10-05 19:09:48
2
Jeffrose :
🥰🥰 Nimekosa la kusema. T was amazing 🥰
2026-10-06 18:17:30
1
ONUKO OTIENO :
goosebumps 🥰
2026-10-07 03:43:38
0
Justine jellasy :
hongeren sana
2026-10-05 17:57:33
1
misana 🐟🐠 point :
kwaya yangu ya Muda wote. parokia ya bugando🔥
2026-10-05 16:19:21
2
pfm_wall art :
Meshack Sasa unakuja Mwananguu
2026-10-07 10:32:56
0
user6436513970129 :
Meshack umenigusa sana
2026-10-06 10:28:24
0
OFFICIAL FAIRLY CREW :
Nywele zimenisisimkaa!! Hongereni ndugu zetu🔥🔥🥰🥰🥰
2026-10-06 10:13:25
0
Flower smart :
🥰🥰🥰
2026-10-07 06:54:48
0
Chiara :
🥰🥰🥰🥰🥰....Santa Maria🥹🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-10-05 19:59:45
0
Ndokejibern :
Mesha bara kbs aiseeee 🙌🙌🤔
2026-10-05 20:58:52
0
Jovin🎶 :
kwaya za RC za siku hizii ni kama kwaya za mbinguni🥳🥳🥳🥳🥳🥳
2026-10-06 03:26:33
1
Linus Rushanka 7 :
nikajua nipo Vatican
2026-10-06 09:35:52
0
M Junior :
Hongereni sanaa iasee
2026-10-06 02:18:53
0
Gee🥰 :
nice song
2026-10-05 21:40:09
0
Ben Benja :
Nzuri sanaaaa hongereni sana
2026-10-06 16:32:35
0
To see more videos from user @kmbbugando3, please go to the Tikwm
homepage.