@malkia.wa.tiktok: #zaiylissa #tanzaniacelebrities #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #swahilitiktok🇹🇿

malkia wa tiktok
malkia wa tiktok
Open In TikTok:
Region: US
Monday 05 October 2026 15:02:58 GMT
117625
4043
176
235

Music

Download

Comments

nellykilua
Nelly Kilua :
wote kina nani wakati mie sijawahi vaa
2026-10-05 16:52:41
76
hibo.ahmed72
Mam ♡♡♡ :
hata hamisa?
2026-10-05 15:52:15
8
jacmuyango
jacmuyango :
jamani mm nlivaa nguo bila kigodoro
2026-10-05 16:06:45
39
us061106208560
mrs hussen🔐🥰 :
kabisa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-05 18:37:03
0
mummy_tumucollection
MUMMY TUMU collection :
kweli kabsa mm navaa 3 hasaa😂😂😂😂 chezea Lucie wee 💃💃💃
2026-10-05 19:20:22
1
mrssabjo1
jojocute ❤️ :
fact😅😂😂 umemaliza
2026-10-05 19:36:12
1
zshani25
SHANIFRESHWHITE :
Ila zai wewe ni too much unakivaa Tena wachongwa kabisa maana nilikuona sinza mmm nikashtuka 😂😂sio wote wanavalishwa kigodoro banaa
2026-10-05 16:32:44
5
salmamauki5
salma💕mauki :
Mimi na vigodoro ni ndugu
2026-10-05 17:56:35
7
sia6214
sia :
Mm sijawahi vaa kigodoro
2026-10-05 18:18:12
4
ngaizsydcwa
melody💋💋 :
bora wew uliesema ukweli
2026-10-05 19:36:11
3
geturude__
Aggy beby🌹 :
mm natamani kigotoro bt huku kenya akuna
2026-10-05 19:44:49
1
ummysingano248
ummy :
dada hilo nalo neno👌👌
2026-10-05 15:46:02
46
mrsmaliti
Dee🥰❤️ :
Mm sjawah kuvalishwa kigodoro kwa fundi jamany sio kila mtu nguo zangu za shuhuli zote sjavaaa😂😂😂😂
2026-10-05 19:06:11
0
donathakimario2
D ❣️💗💕🌹 :
hadi hamissa au
2026-10-05 16:43:01
0
annabeuty08
anna beuty parlour :
Sema wewe sio wote binti Mbna me sivai
2026-10-05 17:27:49
5
tatusteven6
Tatu [email protected] :
mbn mm sivai kigoro sasa?
2026-10-05 19:19:29
1
zainabedward813
Zainab Edward :
kumbe
2026-10-05 19:34:03
1
mrs.ngwaya
Fatma :
asant kwakufichua Siri nilikuw sijui hil
2026-10-05 16:32:03
4
kaumbya6
🇹🇿Muala🇹🇿 :
Uongo wapo sana tu
2026-10-05 17:36:58
2
tumain.muna
Tumain Muna :
mbona mm sivai kigodolo?
2026-10-05 18:32:26
1
mzungumjun
mzungu mjuni :
mbona mm sivaagi
2026-10-05 17:49:13
1
faybrand1
fay brand💦🦋 :
nakupend. vipi yani
2026-10-05 17:05:43
1
user4940909949370
Halma Chris Brain :
Siri sio Siri Tena uwiiii 🤣🤣🤣
2026-10-05 16:35:50
2
nulicious....greeneyes
Nulicious....❤ :
khaaaa sasa wote akina nani jamani hahahahaha mm akuu sijawahi kuvaa
2026-10-05 17:28:56
1
hiddengirl772
shy girl :
kweli kabisa
2026-10-05 15:41:56
2
To see more videos from user @malkia.wa.tiktok, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About