kumbe bado wapo wanawake wanaojitambua alhamdulillaah
2026-10-06 08:46:11
34
TimeFurniture_Dodoma📍🇹🇿 :
mimi binafsi nilishawahi kuish na mtu wa hvyo, nikiongea sijamaliza kaisha jibu kilakitu anakijua, mm nilimfukuza mpk leo sifikirii kuja kuish na mwanamke tena wote naona wale wale tu👐
MUNGU kwani mke wangu ajaiona hii[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 21:31:21
4
selemani_nature_africa :
Well said sister 🙌🏾🙌🏾🛺🛺💨
2026-10-05 20:38:13
7
R.b boy :
labda semeni nyie sisi tukisema tunaonekana maskin
2026-10-05 20:39:31
12
KITESA FAM❤️🦋 :
nikupe namba yakee😂😂
2026-10-05 21:38:59
4
buuda best 259 :
iv nnavyo kutana nayo izi post na mwenzangu alikuwa anaziona au zarau mpk kuvunja ndoa kwa mikono yake
2026-10-05 20:08:16
9
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Naskiliza mwanaume wangu Amna cha Kunambia kikubwa anipigi ananiweka sawa
2026-10-07 18:29:34
1
Bonifase Kitomari :
volume is love you kwajamii
2026-10-05 18:05:52
2
pasuko l moyo :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart] wanajisaau wametuzoea kw sasa Ali mbaya[Pray][Pray]
2026-10-05 19:39:33
1
FRANK DREADLOCKS SALON :
Umeweka lisauti likubwa ata simsikii vizuri
2026-10-05 17:15:18
3
Tall mnyama :
real
2026-10-05 18:33:43
2
emmanuely Tilly's25 :
top.
sijuw kama wameelewa
2026-10-05 18:00:14
3
Dalal Denis Dodoma :
Sion coment ya mdada hta moja hp😅
2026-10-06 11:09:09
1
Hushpapy 🍀💪 :
👊👊
2026-10-05 19:22:14
1
Thug life💸💸💸 :
Bora ulikuepo
2026-10-07 21:01:20
0
denis thomas :
Ubarikiwe sana dada
2026-10-08 15:33:11
0
Shafii wa leo :
kama nawaona wanavoipitisha hii video hawatak sikia kabisa kabisa
2026-10-08 06:43:37
0
007 James Bond :
wewe ni Katibu Mkuu wa wanawake wote duniani unaakili sana Mungu akujalie maisha marefu na yenye furaha na amani madam 🙏🙏🙏🙏
2026-10-08 05:58:53
0
mjoli wako wa kila siku :
dada anguuu ..MUNGU akupe mwaka mmoja sehemu ya maisha yangu .'ni jumapilii tuu kuna tukioo mke wangu kanifnyia mpka sasa siku ya nne .sijarud home .sijuii watot .inakuaje kuna muda nataman nipate nguvuu nimuachee kbsaa lakn hyoo nguvu sina ..WANAWAKE TUPUMZISHENI TAFAZARI 😭🫡❤️
2026-10-08 12:21:06
0
♒GIFT :
2026-10-05 21:11:25
0
To see more videos from user @msisimediatv, please go to the Tikwm
homepage.