Mungu akinipa ela ntakuwa sifa kama hivi ili niwape mood ya kutafuta ela watu wengine
2026-10-06 20:23:17
1
𝐅𝐈𝐆𝐇𝐓𝐄𝐑.001 :
Allah amzidishie katika mali zake na ampe akili ya kutoa ajira kwa vijana watafutaji. 🙏
2026-10-06 05:34:40
4
Boi Alone🥷🥷 :
sio sifa kaka ni haki yake kwsababu anazo
2026-10-06 12:50:11
1
Rayssam Tech :
wallah Allah Karim sanah wakati huo huo kuna watoto wa kimaskin tunakosa pesa ya ada ya kuendelea na masomo,kuna maskini wengine wanahangaika na pesa ya matibab hospitalin Allah Karim sanah wallah 🥹🤲
2026-10-06 04:22:33
3
Jumaa Jukx :
Heri angesaidia maskini walai jpo kdgo.
2026-10-06 00:11:08
1
mahd :
50
2026-10-06 04:52:47
0
Mamba taila 45# :
nashindw kuelew
2026-10-06 07:21:57
0
idrisapaku :
tz nzima uyu ndie tajili
2026-10-05 17:53:15
0
zahra***baby;24 :
sasa magari yote haya kwaabiliy gani wote hao au tanga kilasiku tunasafil jaman
2026-10-06 06:45:45
1
rumhy 29 :
anagari nyingi lakin ukikata ticket ya gari ya kuondoja saa 3 unaondoka saa 4 na dakika zake
2026-10-06 11:32:02
1
LAMAR CHUGA3⃣2⃣🇹🇿ONE :
abood
2026-10-06 14:08:37
1
Xtiv official :
million 500 kila mojaa
2026-10-05 21:03:36
0
🇪🇬🇦🇪سعيد Moher🇰🇪 :
Abood 💪
2026-10-05 21:47:49
0
Aziza michael :
emb mloangakia had mwisho zipo ngapi
2026-10-07 14:09:02
0
Dulla :
Kwani hela zinatoka wap au Kuna Dunia ya hela wenzetu Wana chota
2026-10-06 10:41:29
0
SS#%@@M :
ebhna eeeh hyo yote ni katika fadhla zake allah
2026-10-06 08:01:28
1
obedi 45 :
😭
2026-10-06 07:35:09
0
DALALI BAUCHA ILALA TZ :
gari kaleta 30 zote ntaa kitu kibichi alf kaweka full tank watu waone sgr ya barabarani jmn sio treni ya mama samia ni gari za aboud tuwelewane ok kashatoa kafara mambo ndo hayoo
2026-10-06 01:31:50
0
To see more videos from user @wizjumbembuzi, please go to the Tikwm
homepage.