@nijuzenews: Heche: 'Mbunge akikaa bungeni asubuhi mpaka jioni analipwa laki nane' Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameyasema haya Oktoba 5, 2026, kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika Nyamongo, Mara. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
Nijuze
Region: TZ
Monday 05 October 2026 15:41:31 GMT
Music
Download
Comments
Seba :
alafu kuna wabunge huwa wanatoroka vikao vya bunge
2026-10-05 16:59:15
33
peter :
14m kenyan ni 20,000
2026-10-05 18:36:59
15
Jiggah :
maliza kwanza video comment zipo tu
2026-10-05 19:12:24
7
Bryson Myalla :
mbona ulivyokuwa mbunge ulikuwa husemi hayo
2026-10-06 07:28:05
8
Linus clasic :
kwa heche amekaa ubunge miak mingp
2026-10-05 17:47:07
16
Yuyajunior :
da! mil14 sitting posho 180 na 220 leo lak 8 aaah naenda kugombea
2026-10-05 18:29:53
3
Malunde 255 :
Hata aliingia chadema hakuna mtakachobadili
2026-10-05 17:18:42
5
""The Matthew Jr"" :
Mimi nilitegemea mwisho angesema yeye,au wabunge wote wa Chadema walikataa malipo hayo 🤔🤔
2026-10-05 21:30:32
4
Mkakaa 😎 :
million 14
2026-10-05 15:46:25
9
Sivillian Masatu💰 :
mbona unadharirisha maaskari kusema et anakopwa mishahara
2026-10-06 03:28:31
3
Dullah _Kid'ali :
je suluisho ni kubadilisha chama au mfumo wa uwendeshaji
2026-10-06 08:15:06
2
user232686612399 :
askari wanataka kulia ila ndio washaingia ktk mfumo
2026-10-06 15:28:47
1
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
sasa kama chadema mtaingiya serekalini mtapunguza izo pesa au mtaongeza
2026-10-05 17:51:45
8
james alphonce :
duh na wanao walinda hao had kura zinapihwa ni maasikari
2026-10-05 17:58:29
6
Tonney :
Hii nchi rushwa sana
2026-10-05 16:39:37
6
Ahmed :
punguza maelekezo kila m2 ni mara yake ya kwanza kuishi Duniani
2026-10-05 20:42:56
5
Wadesh :
Huyu ni mluhya wetu hapa kenya
2026-10-05 20:56:47
6
MARTINE :
maaskari wanataka Hadi kulia
2026-10-05 19:48:21
5
The_Mountain914 :
levels bro sasa ulitaka kila mfanya kazi alipwe sawa na mbunge au sio
2026-10-05 19:29:07
5
BOB ZENDEN :
mbn sijawahi kusikia ukilalimika hela nyingi
2026-10-06 13:18:54
0
LastHenxam :
mbona siku zile hajasema anasema saivi? 😂
2026-10-05 17:07:51
4
Hassani mkwayu 268 :
saf kiongoz heche allah akijaarie chadem kishike dola
2026-10-06 07:41:49
2
muha mwerevu @gmail. com :
Tanzania mpya
new Tanzania
2026-10-05 21:39:15
2
eddo4041 :
duh mbona ubunge raha sasa ila heche nakukubar sana aseee
2026-10-06 10:16:53
1
Robert George :
dah atari mura
2026-10-06 08:12:32
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.