@makala.za.daudi.y: YUKO WAPI VIN JR? MAKALA

Makala za Daudi Yohana
Makala za Daudi Yohana
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 15:43:31 GMT
315190
20411
205
313

Music

Download

Comments

zakayokuresoy
thomass kuresoy :
ukitaka kupata huwakika muulize ai
2026-10-05 19:00:59
27
filbertsimon501
Kasyele jr :
tunamtaka vn wetu🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 05:54:26
13
bonde_icon_tz
Bonde Icon :
Kama yule sio Vini na kafa / ametekwa, kwa nini? 1. Mfumo wa FIFA Connect ID: Kila mchezaji ana ID moja tu duniani inayounganishwa na alama ya vidole na iris. Vini aliscaniwa Bernabeu Sept 13 na Kolkata Oct 3, system ikamkubali 100%. Clone haingepita, FIFA Connect ingekataa mara moja. 2. Doping na WADA: Damu yake ya Oct 3 vs India imehifadhiwa kwenye lab ya WADA Switzerland na inalingana na biological passport yake tangu 2019 - hemoglobin, testosterone, na DNA sequence ni ile ile. Clone hata kama ni pacha, biological passport ingeonyesha tofauti. 3. Mkataba na La Liga Economic Control: Real Madrid hawawezi kumlipa mtu mwingine bila La Liga kuona. Mshahara wake wa €25M unapita kwenye bank account yake ya Santander iliyofungwa na CPF yake ya Brazil na passport number yake. Benki ingegoma kumlipa mtu mwingine. 4. Data ya GPS na Biomechanics: Vests za STATSports zinazovaliwa na wachezaji zinapima misuli. Vini bado ana sprint pattern yake ya kipekee - anakanyaga na mguu wa kushoto kwanza na ana angle ya digrii 17 anapokata ndani. AI ya Second Spectrum ingegundua mtu tofauti kwa sekunde 5. 5. Familia na Kisheria: Kama kafa, kwa nini polisi wa Rio, uhamiaji wa Brazil, na balozi wa Spain hawajatoa taarifa? Na mama yake angewezaje kufanya Live na marehemu na Meta verified account yake bado ina blue tick na face ID yake? Swali la mwisho kwa wanaosema sio yeye: Leta cheti cha kifo kutoka cartório ya Rio, leta ripoti ya polisi, na leta matokeo ya DNA tofauti ya WADA. Kama hamna hizo, basi mnaongelea filter ya TikTok, sio mpira
2026-10-06 09:05:59
11
eanstqtn88y
Einstein 17 :
Ni Vin huyo achen uongo bwan bac wa tuletee na sisi simba doumbia mpya
2026-10-06 14:57:15
14
mathiaspaul689
Mathias Paul :
sio yey
2026-10-26 17:03:54
3
emanuelelimringil
Irene 🌸 :
Mbona Jota hakufanyiwa
2026-10-07 14:25:24
6
bizoran.kid1
BIZORAN👩‍🦲 :
niyeye lakini alifanyiwa upasuaji Wausoni kwasababu tayayake ilipatahitilafu
2026-10-06 11:03:51
1
philileizer
philileizer :
Unatuuliza tena badala useme yuko wap shekhe
2026-10-10 11:32:39
4
agentbuza
Agent Buza 👑👑 :
lakin ndo huyo huyo
2026-10-05 18:02:22
5
kipepeo12kelvn
💖its 🥰smiley 💍official😍😍 :
sioyeye
2026-10-18 11:53:03
1
user5478143327637
E.F.Lusale :
ni vini
2026-10-15 08:35:06
1
finiaspetro907
Finias Petro :
hata kwa macho ya kawaida 2 tunao mjua vin jr sio yeye hata kidogo
2026-10-08 10:20:24
2
dogopanji
dogopanji :
mna uhakika au kama sie
2026-10-08 18:29:12
2
jamesshija499
James Shija :
xy yy
2026-10-06 08:36:36
1
machili350
mnyambo Grn :
hyo cio
2026-10-06 20:58:29
1
faishan33
faishan33 :
kwani vini mwenyew anasemaje?
2026-10-07 19:32:04
2
josephkakusaigreck06
joseph :
k
2026-10-06 10:30:18
3
user8560182354253
k pizoo :
hapo tumepingwa tunamutak vin wetu
2026-10-06 09:41:46
1
idrisasaidi476
Idrissa saidi :
tuna mtaka vn wetu
2026-10-06 16:04:28
3
user4211319530524
Twins Gold🏅💰⭐🥇🌉 :
hata dumbia ni mwengine mwasemaje
2026-10-17 13:08:21
3
somjisomji90
Somji somji :
Mashabiki, tumieni akili 😅 DNA inaweza kufanana, lakini kumbukumbu na uzoefu havi-cloneki. Hakuna ushahidi Vinícius amekufa—msiamini kila story ya mtandaoni. 🧠⚽
2026-10-06 18:23:35
4
josue.amani216
Josue Amani :
kweli tumesha mupoteza n'a umiya sn mimi
2026-10-05 21:10:50
3
tronexmwl
Prince Tron HB💥 :
VIN alikuwaga akifuga ananipigia sm ila uyu wa sas sio vini
2026-10-13 07:57:25
2
sam94212
samstaNyota :
huyu Sio Vini bnaaa Ni same tu Na kusema uweke Ronaldo bench alafu anyamaze Na afrahi
2026-10-06 11:57:40
3
user6541761496845
chalii yayesu tz🇹🇿 :
so si yeye
2026-10-06 17:26:51
2
To see more videos from user @makala.za.daudi.y, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About