@kawanga18m: MTWARA: HIVI KWANINI HUYU MZEE ALIKUA HATAKI ELA KABISA ?😒😒🤔🔥🔥🔥 Angalia adi mwisho kisha comment chchte nasoma comment ili nijifunze kusoma akili ya mtu wakati wa content✊🏼✊🏼❤️❤️🙏🙏🙏 👞 Karibu sana kwa @_fundimiguu @fundimiguu_visual 👞 Pata viatu original, imara na vya kisasa kwa bei nzuri. 📍 Tunapatikana Kariakoo, Narung’ombe na Msimbazi 📞 0762 379 245
self respect. he was ashamed as no one has ever helped him it is hard to accept help from someone, but indeed he needed some love and help.
2026-10-06 12:06:22
0
Joseph Samado :
bhana ww 😂😂
2026-10-06 08:19:39
0
user7056219063750 :
umetisha bro
2026-10-06 06:27:30
0
Shey❤️ :
Ongea ya kawanga 😂😂
2026-10-05 19:10:11
3
💢dalpha🧡💙 :
uyu wa pemben anatia huruma zaid😭😢😢
2026-10-05 16:32:16
16
malsimy :
mzee amekataa kwasabubu anajua na wewe unauhitaji zaidi yake ndio maana amekataa but allah akuzidishie kaka angu
2026-10-05 16:43:45
13
jumakingindo :
huyo alikuwa akufahamu ila Kwa muonekano wako alijua wewe una uhitaji zaidi kuliko yeye kwahiyo kupokea pesa yako ni kama anakuzurumu bila shaka huyu ni mwaminifu
2026-10-07 05:33:43
1
Jaaa :
washa kufahamu bro badili content
2026-10-05 16:13:27
5
Khadija Rajabu :
ila we kaka uko vizuli sana
2026-10-06 09:08:06
1
Seyran :
napenda wamakonde wanavyoongea bwana weweee😂
2026-10-05 18:49:15
3
Majaba :
Nani mwingine anakubari kawanga🫡🫡
2026-10-06 16:41:08
3
Mwalimu Rasheed :
naomba mni follow 😂
2026-10-06 06:24:23
2
jayflavour4@ :
hahah😁😁daah kwel
2026-10-06 11:00:04
1
willy mwaitege :
ikifika 450 nishtueni
2026-10-05 15:55:27
4
🫧𝓨 𝓾 𝔃 𝔃 𝓸🎧 :
😃unajua sana kijana
2026-10-05 16:08:29
4
Mr waya (Big Brain🧠) :
namuona rama meneja wa exim benki hapo ni sokoine house.
2026-10-06 11:31:02
1
muscah stopper tz :
kaka kama una soma koment soma na yakwangu nipe nafasi ya kufanya kazi na wewe hakika uta timiza ndoto zangu nishike mkono tafadhali [Pray][Pray][Pray]
2026-10-05 20:03:30
2
Fatma_Abdi12 :
Amekuona wenyewe unahitaji msaada sasa asije akapokea pesa zako ukapata shida
2026-10-05 16:29:57
2
Faah 🦋 :
Mi naumwa mwili mzima apa 😂
2026-10-05 16:03:58
2
alone 🤐🔥 chimakeke familly🔥 :
kawang umekuj lin mtwala kwani
2026-10-05 17:25:47
1
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.