@anniphabeaut_saloon: Daah mdogo wangu mteja wangu umekatiswa maisha yako bado mdogo sana jmn aya bwana tutaonana badaee🙏🙏😭😭😭

Anniphabeaut_saloon
Anniphabeaut_saloon
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 15:56:54 GMT
216878
18838
995
1045

Music

Download

Comments

officialneytz
Mao daughter🎀 :
Ila nyie lin hyo jmn huyu si Hamisa huyu
2026-10-05 18:37:41
28
aiemmyra
🤍💫Aiem Myra 🦋 :
Me mwenyewe mpenzi wangu hua ananambiaaa ntakujaaa kukuaa siku moja
2026-10-06 02:18:50
230
ckaycute
baby ckay🥷 :
alikuwa anaumwa kwan mam🥺
2026-10-05 15:58:37
98
goldy_gee04
Goldy_Gee🔶 :
jmn ukiona mtu kila mara anarudia kukwambia nitakuua embu achana nae
2026-10-06 04:53:35
387
oomosrmssss02
mss_ :
Nikifikiria nmekula hela za huyu kijana na Sina mpango nae ,nachoka mimi🥺🥺🥺
2026-10-05 18:38:17
137
fatumamuhammad682
Mrs muuh❤️ :
ukion red flag kimbia jamn
2026-10-06 10:44:22
0
pink.mellow6
Pink mellow :
Uwiii mungu wangu Yule mkaka wangu 🥺 yuko na bastola sema uzuri Hana hasira sana
2026-10-05 19:13:05
80
benbekatz1
Benbeka Tz :
Daah Dunia ilivyokuwa tamu mtu unathubutu kukatisha uhai wa mwenzako unaacha familia yake ina uzuni unakwenda kuishia jela au kuishi maisha ya kujifichaficha😭 MUNGU nijalie nisije kukatisha uhai wa mtu hata Kwa bahati mbaya wala hata Kwa kumuwazia kifo cha kumsababishia sababu pumzi ni tamu sana japo ni ndogo ila nisije kuwa chanzo cha kukatisha pumzi ya mtu Kwa namna yoyote ile
2026-10-05 21:03:33
320
user3129830385011
khutwaa Tz🌺 :
polen kwa family
2026-10-06 09:18:06
0
im__whity
whitness🦋❤️ :
Mimi wangu ananitishia kuniroga na nguo yangu ya ndani kabeba nazidi kuchoka na sina mpango nae😭
2026-10-05 21:48:34
6
0742nabu
queen nabu :
ndomana me nilikimbia nikaacha ndoa na mume niliempenda
2026-10-06 11:47:17
5
winniemeela3
Winnie🍓🍓~ :
People die guys😭😭😭
2026-10-06 13:00:41
0
shanlove.meiki
Shanny :
wadada jmn tupunguze viuno kitandan tutaisha vibaya mno rip mungu akupunguzie adhabu za kaburi
2026-10-05 20:54:47
7
esther49750
Favoured_esther :
Ladies ata cku moja usivumilie redflag kutoka kwa mpenz wako , yamkini uyu alikuw anaambiwa kila mara na mpenz wake lkn akawa anachukulia masiara hatimae leo atupo nae tena . Jmn tujarib pia kumuomba sanaa Mungu kwan hamn anae jua mwisho wake ivy tuombe Mungu tuwe na mwisho mwema . May her soul rest in peace 😭
2026-10-06 11:19:56
7
myrahyusuph
🎀BABE🎀 CUTE🤍 🦂 :
Mungu mpunguzie mwanaume wangu hasira za namna hii 😫
2026-10-06 05:31:28
8
esperance.gilbart
Esperance Gilbart :
poleni
2026-10-06 11:58:07
0
realfrank01
Frank 👑 :
@Frank 👑: Wadada kabla ya kudate na mtu hakikisha huyo mtu yuko na hofu ya Mungu, sending hugs and love kwa familia 🥹❤️
2026-10-06 12:34:03
14
official.tilla.1
Official ARYA :
rest in peace 🕊️🕊️
2026-10-05 19:00:10
0
mrsmmm07
GEE💝💙💸 :
Saiv uyo mpnz akianza kugomba tu tuwe tunakimbia jaman🥺
2026-10-05 21:20:48
15
helena.dorminick
Helena Dorminick :
du jmni pole sanaa ukitaka kuingia kwenye mahusiano muombe Mungu akupe kibali cha kua na uyo mtu 😭
2026-10-06 08:31:19
7
ateen665
A-Teen :
Bila shakaa ndy huyu aliyekuwa akisoma chuo cha Kampala shahada ya udaktari.Rest in peace 🙏🥹
2026-10-05 18:54:17
41
pam_laizer
Ms_ Laizer :
me bora niwe na mpenzi mtazamaji 😭
2026-10-05 18:46:33
28
wa.jmoo
WA J:MOE🌹🥁🔐 :
polen sana!! uyo mwanaume ameshakamatwa
2026-10-05 19:02:22
6
mwanaisha.ally01
aisha :
jaman tukichokana tuachane sio kuuana aisee[Crying]
2026-10-05 18:04:11
23
paschalanna019
namon :
pumzika kwa amani hamisa dadaangu
2026-10-05 18:33:20
6
To see more videos from user @anniphabeaut_saloon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About