@kipepeosasha: 🤲 Dua fupi ya ulinzi: اللهم إني أستودعك نفسي وأهلي، فاحفظنا بعينك التي لا تنام، واصرف عنا كل شر وبلاء. Maana: Ewe Allah, nakuweka mimi na familia yangu katika ulinzi Wako. Tulinde kwa ulinzi Wako usiolala, na tuepushe na kila shari na balaa. Amin🤲#dua#ulinzi#IslamicReminder #lslamic#amin