@azoretechtz: Je, unakaa umbali salama kutoka kwenye TV yako? 📺👀 Haijalishi kama unatumia TV ya HD au 4K, umbali kati yako na screen ni muhimu sana kwa afya ya macho yako! Kwenye video hii, nimeeleza jinsi ya kujua umbali sahihi (kwa mita) kulingana na ukubwa wa TV yako. Hakikisha unaiokoa afya ya macho ya familia yako kwa kufuata kanuni hii rahisi: Inches za TV x 0.04 = Umbali wa kukaa (Meters). Gusa Like na u-follow page yetu kwa dondoo zaidi za tech! #techtanzania #afyayamacho #smarttv #TechTips

Azore Technologies
Azore Technologies
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 16:29:07 GMT
6202
223
3
5

Music

Download

Comments

mr.argonnti
Mr argon@Nti :
dada nakuelewa sana
2026-10-05 16:37:58
0
deogratiusyudatad
deorgatius :
nyumba zakupanga zina huo urefu[Laugh approved]
2026-10-06 06:35:01
0
minsarah824
minsarah824 :
Tunaomba app nyingine ya kuangalia movie kwenye tv reezn imefungwa😌😌
2026-10-06 12:53:39
0
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About