unajua kabisa una namba yangu halafu unalala njaa uko ni kunidharau😁
2026-10-05 17:56:05
12
MRIJO KID 👑🎙 :
nilijua whozu[Tears of joy]
2026-10-05 19:51:39
4
Madiwa Jr :
well said
2026-10-05 21:45:02
0
Jumazengy🔥 :
bro katisha
2026-10-05 19:54:21
0
Trace Stuttgart :
Hii ni syllabus ya uchoyo 😂😂
2026-10-05 18:53:43
5
BONGO BEI CHEE :
2026-10-05 17:53:40
3
Daniel Honery Semwasa :
𝘼 𝙘𝙡𝙚𝙖𝙧 𝙧𝙚𝙟𝙚𝙘𝙩𝙞𝙤𝙣 𝙞𝙨 𝙗𝙚𝙩𝙩𝙚𝙧 𝙩𝙝𝙖𝙣 𝙖 𝙛𝙖𝙠𝙚 𝙥𝙧𝙤𝙢𝙞𝙨𝙚
2026-10-05 20:47:09
1
abbyscollection_2 :
Helaangu sikupi na nasema SiNA
2026-10-05 18:37:06
5
Bamdogo :
😅kwanza nimpongeze kwa hilo, katika majina yake yooote kweny sim kaniona mm naweza solve ishu yk hilo napongezwa sana, kinachokuja kuharib kwann aniombe mm tena
2026-10-05 17:26:37
5
official haa❤️❤️ :
fact
2026-10-05 17:54:36
2
christina Temba :
Ukimpa tumaini atapiga simu kila siku kukumbushia.
2026-10-05 18:56:11
4
Idawa180 :
Ndio majibu yangu…ok tutaangalia, sawa ngoja nalifanyia kazi, sawa nimekuwlewa…
2026-10-05 18:45:56
4
iammilestz :
2026-10-05 19:13:25
1
cefalexin :
🤝🤝🤝🤝
2026-10-05 18:19:41
2
kungwiorg :
2026-10-05 18:34:58
2
BAHATI 《》☆♡ :
kweli
2026-10-05 18:01:36
2
Heriharuba :
Sasa kama sina je
2026-10-05 19:00:45
1
^^bädd¥♎^^ :
kuna hela naisikilizia
2026-10-05 19:27:09
1
elly.timoth :
kwakweli.
2026-10-05 19:06:39
1
joseph :
jibu ni Moja tu sielewi sinaa
2026-10-05 19:05:14
1
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm
homepage.