bila swala hakuna amali inakubadilika baada. ya shahada ni swala usitupoteze shekhe
2026-10-05 17:41:32
7
Qadir :
@Qadir: Sheikh ana maanisha kuwa swala Ni jambo la lazima na Halikwepeki lakin swala peke yake haitosh kukupeleka peponi. Ipiganie dini yake Allah kwa Hali na Mali
2026-10-05 18:55:03
35
Rama Shop :
mim nimeshikama na swala miaka mingi ila mbna kama unatuvunja nguvu
2026-10-06 04:47:40
14
de l🥰v❣️ :
me nimemuelewa SHEKH Tuwee tunasikiliza kwa UMAKINI[Pray]
2026-10-05 19:01:30
3
abdoulfeiysal :
na watu wa motoni watakapoulizwa kwanini muko motoni watajibu"Qāloo lam naku minal-muṣallīn" (قَالُوا لَمْنَكُمِنَالْمُصَلِّينَMuddaththir, 74:43).
2026-10-08 18:24:24
2
ElimuNinuru🇹🇿 :
kasome ipo ayah inayoashiria mtu akiswali anaingia peponi na ipo vile vile mtu asiyeswali ataingia motoni hivi mnachukulia swala ni jambo jepesi....hebu msitoe fatwaa mkiwa hamjui hakika mtaenda kuulizwa.
2026-10-06 14:02:54
3
أَبُو سَلْمَان زِيْدَان :
Aya ipo kasome suratul muumin Ayaat za mwanzo mwanzo Allah anasema wale ambao watarithi Pepo ya Firdaus ni wale ambao wameifadhi swala zao
2026-10-05 19:57:45
7
kasembe8tiktok.com/@kasembe8ti :
KWANN MTUME ALISWALI KIPINDI CHA VITA??
2026-10-06 18:02:12
1
Mshua :
Sasa leo tukaipiginie wapi kuna maadui unaleta wakati wa mtu na ss wa leo
2026-10-05 18:53:41
1
Muhsin Makame :
kwaio tuache kuswali shehe au vipi
2026-10-05 18:02:30
0
idrisa halfani :
hapo ndipo mnatuchanganyaga tu unakomaa naswala unaambiwa swala haipo kwahayo tusiswali
2026-10-06 00:47:41
0
Mr Low :
Sasa ww umeambiwa swala humuondoa moja na machafu ukiisimamiaha vizur na cku ya hisabu kama swala yako umeisimamisha vizur basi ww umefaulu musiwatoe watu kwenye line msipige mifano mibaya kwenye swala
2026-10-06 16:05:52
0
Juma Nasibu :
Allah atujalie mwisho mwema Amiin
2026-10-08 18:02:45
0
fundi rasheed :
mazinge mungu akuongoze na akupe umri mrefuuu uweze kuwafanya wale wasioamini dini ya allh kuamin amiiin
2026-10-10 16:59:15
1
Mariiam :
Kwaiyo tusiswali
2026-10-06 17:00:26
0
mc Hassn :
HAJAMAANISHA UACHE SWALA.
HIYO NI LAZIMA .
UKISWALI PEKEYAKE HATA MISKITI HAITO JENGWA.
2026-10-06 16:25:46
0
Rk :
ushasema alikuwa mtume
2026-10-06 17:50:49
2
RAMADHAN :
sheh sijakwerewa hii video
2026-10-06 06:27:20
0
Young Mdaula :
hii staili ya uvaaji wa kofia nimeikubal shekhe mazinnge
2026-10-06 16:50:52
0
Mohamed Mazrui :
mmmh sheikh mpinga swalaaaa
2026-10-05 20:02:23
2
𝕋𝕨𝕠𝕊𝕚𝕝𝕧𝕖𝕣𝕄𝕠𝕠𝕟 :
Mashallah
2026-10-05 19:04:16
3
kofee_rapture 6💀 :
kuswali they're just part of life. must for Muslim ☪️
2026-10-05 19:58:00
4
MR.Othman_tz📢 :
sikilizeni video vizuri msikurupuke kujibu comment
2026-10-05 18:40:45
1
ramazanisefu839 :
insha'allah
2026-10-05 17:23:35
3
Mohamed Mazrui :
kuna aya chungunzima kuhusu swala
2026-10-05 20:04:36
2
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.