I mic those moments 😢 😭 😿 😢 😭 life was sweet and real
2026-10-12 00:59:46
0
mom_waa40fine _store tz :
Na Hadith za Erick shigongo Gazeti la ijumaaa ilikuwa hatariiiiii😂
2026-10-05 18:47:32
73
alberto kudeli :
shila umevaa Rolex
2026-10-05 18:44:19
29
farie :
Kwan shilla unamiaka mingap jmn [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 19:19:42
11
EDWARD A.M.M :
Banza Stone Ramadhani Masanja mzee wa achimenengule kweli alikuwa mwamba wa ukweli na jenerali katili wa sauti ya mikwaruzo, ambaye alizaliwa Oktoba 20, 1972 na kuanza mchongo mjini kama rapa wa Hip Hop fukwe za Coco Beach, kabla ya kusomea muziki kiwanda cha Korea na kuzichanga karata zake kwenye bendi za mtaani hadi akatua Twanga Pepeta mwaka '95 na kulipua bonge la dongo "Kisa Cha Mpemba". Baadae alipiga usajili wa karne kwenda bendi ya TOT, ambako aliangusha wimbo wa taifa "Mtaji wa Maskini" na kuwasha bifu la mtonyo mrefu wa kibiashara dhidi ya Ally Choki, huku akichana kolabo kali za Bongo Flava na Dully Sykes, hadi ugonjwa wa muda mrefu ulipomnyong'onyeza nguvu na kumng'oa duniani siku ya Eid, Julai 17, 2015 pale Sinza, akiiacha mitaa na upungufu wa falsafa za kibabe maisha yote.Wazushi husema Ngwenje ndo ilimuondoa ,wewe mzee wa story unasemaje???
2026-10-05 20:02:31
24
Aliy Mswahili :
Kaka Ebu Tupe Kipindi Ichooooo Kombe la Dunia
2026-10-05 18:36:29
11
lronlady :
Umesahau Hussein Pamba Kali
2026-10-06 05:04:58
5
Sarah na biashara zake :
Yani kuna sani,risasi,ijumaa linatoka ijumaa na ijumaa weekend linatoka jumatatu,kulikuwa na story tamu veeepeeee🤣🤣🤣
Kuna Ile ya Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana ooooh haina maaana kunyimanaaaa sisi sote ni majiraniiiiiii haina maaana oooh haina maana kunyimana
2026-10-05 20:47:18
6
AMRI ABEDI :
iyo lini
2026-10-05 18:37:28
6
A 💪 MAN :
2026-10-05 17:14:42
6
B the namemc :
wewe mwamba umenikumbusha mbaalii
2026-10-05 18:53:01
7
Prisca tz :
mkali wa izi mambo🥰
2026-10-05 18:32:45
6
Esma wa fei :
hii nyimbo nimetoka kuiimba leo daah banzastone😊
2026-10-05 18:29:18
5
BeingMrsT🫦 :
Baada y kukuskiliza ndio nimejua km mim mzee 🤣
2026-10-08 08:18:26
5
Gilli m :
Walipaitaaaaa sinzaaaa kwa wajanja [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] enziiiin hizoooo
2026-10-11 16:54:40
0
Don Meku :
Daah! Umenikumbusha mbali sana bro! Ijumaa wikienda😂😂😂
2026-10-06 07:18:55
3
Alvin Hamad :
Gazeti Sani, Risasi, Ijumaa na Kiu...🔥🔥🔥
2026-10-06 09:42:53
2
h_eoc2026 :
Mohamed Mpakanjia je?
2026-10-08 01:21:36
1
🇦🇴🇲🇿Mosses _sailor🇹🇿🇹🇿 :
nakumbuka kipindi Hiko 2002 nipo darasa la tatu nipo young boy
2026-10-09 20:26:45
0
Fetty stara :
Hotel maarufu zilikuwa Lion hotel na Vatican bar maarufu Sinza Garden 😂😂
2026-10-09 20:18:54
2
To see more videos from user @shilastar.2, please go to the Tikwm
homepage.