@fravius01: #MemeTZ #motivation

FRAVIUS.
FRAVIUS.
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 17:11:11 GMT
207249
12331
319
499

Music

Download

Comments

catty3906
catty 🥰🥰 :
[Tears of joy][Tears of joy][ttemoji:smiley01_tears_of_j mpak tumemaliza nae
2026-10-05 18:27:20
1
utoto_raha
idriss :
na sasaivi makazini kuna yule anaesema mwezi ujao anaacha kazi lakin haachi😂😂😂...hawa watu jau sana🤣
2026-10-05 19:44:43
193
dory.0176
Dory.01💞💞 :
Caren ayo advance jmn😂😂😂😂😂
2026-10-05 21:37:32
0
careen.sweet.cake
Careen cakes :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] au sio
2026-10-05 19:42:45
0
a130547
. :
na kuna yule kazini wa kuacha kazi na haachi😂
2026-10-07 09:40:06
6
pinkstar4110
Pink star :
Hii imenikumbusha mwaka 2023 nikiw advance tulichelew kufunga shule wadqu kibao wakasema yaan mwakan sirud ap cha kushangaza tulirudi wote mwezi wa kwanz 😁😁😁😁😁
2026-10-06 07:36:55
16
vivafettyvivafett
fatma🥰 :
Alfred 😂😂😂😂😂
2026-10-07 14:31:57
0
user7629859381399
Trixie :
Mimi huyoo umejuaje🫣🫣🫣🫣
2026-10-05 19:00:24
14
naa.cute85
Naa cute :
Wala so mwingn ni mwenyewe
2026-10-05 19:00:16
12
lilimosse.001
Lilianne🙈 :
marafiki zangu hao😂😂
2026-10-06 02:20:35
5
veronica.charles0762748
cut vee🥀🥀 :
niliaga darasa zima sirudi likizo hii lakini kilichonikuta nataman kungekuwa nasehemu ya kuongea nitoe sound ila ndo ivo sina jins niishie hapo maan niliaibika
2026-10-05 19:27:13
10
itsyuen2
it's you :
mm mbaka leo kila siku nawambia watu nahama na bado nipo hadi wamenichoka
2026-10-05 18:35:41
6
jocylnebugenzi
J♥️Lyne :
ndo mm sasa ila mwishowe nilihama🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 14:57:38
1
maps8870
suzy :
ndo kunitangaza huku ni vp mwanetu🤣🤌🏻
2026-10-06 08:35:57
0
user181656857969
Bint k :
mm niliwaambia napelekw uganda kabisa🤣🤣
2026-10-06 04:25:49
0
stevejose219
Steve motivation :
ʜᴜʏᴏ ɴɪʟɪᴋᴜᴡᴀɢᴀ ᴍɪᴍɪ ɴᴀ sᴋᴜʜᴀᴍᴀɢᴀ ᴍᴘᴀᴋᴀ ɴᴀᴍᴀʟɪᴢᴀ
2026-10-06 10:12:06
1
user383452284248
💫shaazy🦋mimi🦋 :
😅😅Rafik yangu 4m1 alisema anaamishwa shule mpaka 4m4 tukamaliza wote tunae😂😂2024
2026-10-06 08:57:22
1
painkiller45016
painkiller45 :
😂😂😂 jmn @zenah beuty
2026-10-06 15:00:57
1
doreen.bachu
Doreen bachu :
Mim nilikua na hiy tabia ya kuwaambia wenzang soon nahama jamn mpak namaliz school 🤣🤣🤣
2026-10-06 13:11:04
0
officiallyhappytz
OfficiallyhappyTz❤️❤️ :
Mm huyo 😅😅😅
2026-10-05 20:16:22
2
briela.sky
briela sky🥰😘 :
michael
2026-10-05 19:56:37
3
muduboy978
muduboy 💔 :
hahahahahaha nimecheka sana hiii jmn dar mim kabisa
2026-10-05 19:57:47
2
aziza2384
Aziza :
mbona kama huyoo mwana ndo mm sasa[Big LOL][Big LOL]
2026-10-06 14:46:45
2
lauhiyaissagmail.com
Lahuu🦋❤️🦋 :
Na uyo mwana nilikuwa mm kila siku nahamishwa mwez wa 3 mara wa 6 had nikamaliza shule 😂😂😂😂😂
2026-10-06 12:12:32
1
user6858011083376preety
🍏 :
hahahah😂😂ume nikumbusha mbali san huyo ni rafiki yangu fatuma saidi
2026-10-06 13:07:13
0
To see more videos from user @fravius01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About