@mapenzihisia6: Najua huenda kuna wanaume wengi wanaoweza kukuambia maneno mazuri, lakini mimi sitaki nikushawishi kwa maneno pekee. Nataka nikuthibitishie kwa matendo kwamba wewe ni mwanamke wa thamani. ❤️ Nikipata nafasi ya kuwa karibu na wewe, nitakuheshimu, nitakusikiliza, nitakuthamini na nitakufanya ujisikie kuwa wewe ni mwanamke wa kipekee. Sitaki uwe wangu kwa sababu nimekulazimisha, nataka moyo wako wenyewe uchague kunipa nafasi. 🥰❤️ Kama utanipa nafasi moja tu, nitaitumia kukuonyesha kwa nini nilikupenda wewe. 💕” #Love #Relationship #fyp #creatorsearchinsights
shida nikwamb ukiandika sms kama hii aiendi yenye mistari KAMA HII
2026-10-06 08:29:29
0
🤜D&LYRIC🤛 :
salooout
2026-10-06 06:54:43
0
Almehir :
maneno mazur shida Unae mtumia mwenyewe dharau Aha mina choka
2026-10-06 09:23:53
0
Meddy Navas :
2026-10-06 11:34:55
0
vc2 47☠️ :
fire
2026-10-05 23:15:53
0
MAJOGOLO 💎💎 :
Najua huenda kuna wanaume weng wanaoweza kukuambia maneno mazur lkn mm 6k nikushawish kwa maneno pekee . Nataka nikuthibitishie kwa matendo kwamba ww mwanamke wa thamani snaaa ❤️Nikipata nafas ya ukalibu na ww nitakuheshim nitakusikiliza nitakuthamini na nitakufanya ujiskie ww ni mwanamke wa kipekee sitak uwe wanguu kwa 7bu nimekulazimisha nataka moyo wako uchague kunipa nafas ......
2026-10-05 19:21:02
1
George Ernest Wilson :
nice
2026-10-05 19:13:01
1
2007 :
Acha mamb yako namby na sms zakufanya akuchukie
2026-10-05 20:17:32
2
##leodga## :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-06 10:45:41
0
𝕔𝕠𝕞𝕓𝕒𝕥 𝕛𝕒𝕪 🤲🤲🤲🫣 :
[Fire]
2026-10-06 09:28:48
0
EST JIBUSERVICE 🇨🇩🇨🇩🙋🙋🙋 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰
2026-10-06 07:26:31
0
meshack OG :
@
2026-10-06 06:16:53
0
Wizzomuster2 💥💥💥💥 :
🥰🥰🥰
2026-10-06 06:23:51
0
Jackson Yuga⭐ :
🔥🔥🔥
2026-10-05 20:27:19
2
To see more videos from user @mapenzihisia6, please go to the Tikwm
homepage.