@the.dream.translator031: Follow for more

Dream Decoders[Interpretation]
Dream Decoders[Interpretation]
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 05 October 2026 17:15:32 GMT
200342
3237
126
158

Music

Download

Comments

joe.sulle
Joe Michael Gittilee 🌟🌟 :
kuota ngombe wangu kazaa nn
2026-11-03 15:06:40
1
nurukiukila
nurukiukila :
Mimi nilimuota baba yangu alifariki alipotea na kurudi akiwa maiti yaan amekufa kwa mara pili hii inamaana gan?
2026-10-14 14:45:33
2
marynangila635
Natecho♥️♥️ :
me this wk karibu kla siku naona nimejifungua mtoto wa kiume bt sina mimba
2026-11-05 08:56:12
1
elizabethbusely
Eliza :
Habari mm juzi niliota kun shereh kulikuw n mpenz wang alf kukaw n mtu mwingin akaw ananipend ingaw sikumuon hat pia alikuwep baba yangu akaw anafurah san lakn mzee wangu tumemzik anakaribia mwez sas
2026-11-02 09:00:18
1
hilda.njama0
Hilda Njama :
Mimi niliota baba yangu anakuja akanipa vitu vya thamani nyumbani nasamaani za ndani Lakini babayangu alishakufa muda mrefu maana yake nini
2026-10-22 08:02:08
2
pendo.045.254
pendo 045/ 254🇰🇪💓🥰 :
vipi kuhusu kuota unapigwa na mtu usiyemjua? pia nini maana ya kuota unashiriki mapenzi na mtu ambaye anajulikana mtandaoni ila kwenye uhalisia humjui?
2026-10-29 21:51:49
1
tashakamage8
Tashakamage :
Nimeona nimejifungua Watoto MAPACHA Wazuri Sana wa kiume na WA kike ,Hadi Naamka nafurahi Tu Ina Maanisha Nini na me ni Mapacha
2026-10-28 06:49:33
1
mamasamia290
Mama Samia :
hatimaye nimeona tafsiri ya ndoto nilioota jana asante mtabiri
2026-11-02 12:47:54
1
amina..princess
Amina. Princess :
mimi naota napaa napelekw sehem tofauti inamaamana gan
2026-10-31 13:22:08
1
aishaaddi3
aisha addi :
mm nimeot napg stol n mtu anae nfanyiaa husd
2026-10-15 00:06:07
2
zawadi.prospel
Zawadi prospel :
Nimeota jana nyoka mweusi kanin'gata inamaana gani😌
2026-10-25 18:31:04
0
fettychangs
fettychangs :
kuota kugombana na mtu nini maana yake
2026-10-26 07:44:47
0
shiroh.mwash.m
shiroh mwash m :
Mimi huota na mtoto msichana of which nampea ata jina,,there times now
2026-10-17 14:24:04
0
heriethkihahi5
heriethkihahi5 :
mimi nina mtot mdogo anakaa chini lakini jiliota mtot wangu anatembea ii inamaan gani wakati yeye yupo kwenye hatua ya kukaa chini
2026-10-13 09:10:32
1
user3721915670086
sakkie mgett🇰🇪//🇺🇬 :
kuota umerudi shule
2026-10-14 12:56:31
1
queen.of.the.jung404
Queen of the jungl :
Mimi nimeota mvua mpaka imepasua nyumba
2026-10-15 17:12:19
1
luvine65
it's lucy :
nimeota nimebeba mtoto mdogo nika mueka kisimani halafu nikafungiria maji yakajaa akafa
2026-10-07 20:23:21
0
najmarehanmwalim
my ❤️ lovely :
we mbona apo namb 5 mashllh 🤣🤣sijui kweli
2026-10-07 09:30:22
1
mom.ariannah
mom ariannah :
mm niliota nikiwa nimeanguka Kwa mto n ilikuwa deep sana sometimes mm huota nikipanda milima what does that mean
2026-10-15 00:19:53
1
sabinamukunzi
Mary ju :
lord let your will be done,niliota number 4
2026-10-14 19:42:49
1
cute.ashanty04
MRS Saleem OG❤❤🥰🔐 :
AsalamAleykum mm nimeota Nimezaa mtoto ila bila maumivu na mtoto mnene wakiume mzur nikawa nasema ww kwel ni mwanang nikamnyonyesha baaada ya hapo nikaamshwa huku na smile😻 Naomba uniambie maana yake
2026-10-27 20:21:50
1
vero.massawe7
Vero massawe :
nimeotaa Kuna watu walikuwa wakinikimbizaa gafla nikapaa juuu na kushtukaa
2026-10-21 11:48:21
0
user5105552608102
New york :
Nimeota nimepewa lift kwenye gar ndogo tulipofika nnapoenda akakataa kunishusha akaanza kurudi nyuma kwa kasii nikafungua mlango nikaruka hii inamaana gan
2026-10-09 09:52:16
1
muminahussein816
Muna xaredh xussein :
nimeota nina mimba ya miezi tisa ilhali sina mume inamaana gani
2026-10-11 15:28:58
1
user99394208789541
user Esther :
Nmeota nakunywa soda
2026-10-13 17:17:55
1
To see more videos from user @the.dream.translator031, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About