@iycsigntv: Mwanamke usijitetee kwa mume wako kuwa mnyenyekevu Muusika: pasta 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
Apa ndo mabinti wengi wanakosea. If you want to be a powerful woman Or man. Follow the 48 laws of power. Rule no 1: do not outshine the master. Now you need to understand who's your master. In daily life. U'll become very Powerful
2026-10-06 12:46:10
1
sniperdebaddest :
nna mchaga mie [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ataona tu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 01:47:32
0
Kim ✨🎀❤️🔥 :
Apate tu hasira Sasa sijafanya nakubali Vipi
2026-10-06 04:13:27
32
mudy :
Kwely[Finger heart]
2026-10-06 14:30:47
0
chakachaka :
Hongera points sana👏
2026-10-05 23:26:20
2
trissy❤️ :
Basi kama ndo ivi ndo maana siolewi🤣🤣🤣🤣 maana nazima moto kwa moto
2026-10-06 09:56:05
8
Sometimes :
Mkewangu nilisusa kula akachukua chakula akala yeye nanyama kajiongezea😁😁
2026-10-06 10:57:42
8
Neeh🦋🫧✨ :
Sizani ka naweza 😂😂😂
2026-10-05 18:11:06
13
Ashily :
siyo rahisi jamani
2026-10-05 21:52:47
6
ZARINAH🌸 :
nmejifunza
2026-10-05 18:08:57
6
𝐋𝐞𝐲 𝐃 ❤️ :
Umechelewa kusema Mama 😩😂
2026-10-05 20:17:02
6
Natasha🌹🤎 :
Kosa sio langu si bembelezi
2026-10-06 05:50:23
4
ken the dosage :
tutakuchongea sanamu kwa kazi nzuri hongera sana
2026-10-06 07:32:39
6
its_reepose :
Uwiii kumbe kuna kuomba msamaha hatakam kosa lake HAPANA🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-10-06 09:57:58
5
M&J🔐 :
Millenial bhana😂…. Kwa kujiamulia mambo
2026-10-05 23:04:36
8
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
😊😊 mimi wangu huwa anasema kwani si nimekwambia samahani
2026-10-05 18:34:32
5
tinowilliam1020 :
Mama naweza kukuarika chakula nyumbani kwangu uongee haya japo dakika 5 please Mama . Ubarikiwe sana
2026-10-06 02:38:42
6
Abkar Shaaban :
sio kwa, Gen Z hawa
2026-10-05 17:48:20
5
crocheterdeja :
Mmmmh
2026-10-06 09:44:44
2
Shamy❤️ :
Siwezi lazima nijitetee yani sikubali makosa kirahisi wee yanikunamuda hadi ananiambia Asante umeshinda 🙌🙌🙌naongea vipi
2026-10-06 08:21:21
3
Brand with pinker🛍️ :
Una uhakika siku nikipata hasira na mimi ata kama kwa kosa nililofanya mimi ataomba msamahaa😂. Aah weeh me nae uko mnitoe
2026-10-06 10:11:46
3
bahatisha deonatus :
safi
2026-10-06 11:17:47
1
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.