Naelewa kurekod ni mbaya lakin mmeshajua inaongeza iman ya kusaidia wengne ebu tubaki kwenye kuona anachokifanya ni matunda iman 🙌
2026-10-08 12:48:43
46
G🦋 :
Hii singda 🥰
2026-10-05 20:39:19
11
Ashwar 💫 :
mungu akuongeze unapo toa
2026-10-05 17:50:52
47
lovemaishani :
Manshallah🤣
Video zinahamasisha kwasababu dunia ya sasa siri imekuwa ficho la umasikini. uwazi sio lakini pia unahamasisha. Allah ndie ajuae nia yako😊
2026-10-05 22:22:46
9
sasha :
mungu akuongezee jmn
2026-10-05 20:56:41
9
rahma😘💜 :
Allah akudhidishie Kwa Kila jamb😘
2026-10-06 07:15:45
5
Mr waya :
safi kaka mungu akuzidishie
2026-10-05 21:36:41
2
YuzzoGBG$# :
ostadh njoo na Giner shehe tuna hamu ya kukutan na wewe Ginery singida🤲🤲
2026-10-05 21:37:25
2
Babayagah :
aisee mungu akubalik sana kwa moyo wako
2026-10-05 21:52:36
2
PRIME_DELIGHT17 :
Reason why I wanna be rich 🫂
2026-10-08 06:37:19
2
Mr Nyomii :
video ni kukuonyesha ww mtazamaji uwe namoyo wakutoa nikama ukumbusho☺️😊
2026-10-07 04:17:38
4
obote :
mungu dereva isharahhh
2026-10-06 11:32:07
1
KAJEMBE SWAGGZ: :
hiii singida🙏
2026-10-11 13:13:00
2
Mahmud✌️✌️ :
mungu akupe zaidi🙏🙏🙏
2026-10-06 07:50:28
1
?? :
akika wewe mtu mwema mungu akuzidishie
2026-10-06 09:51:56
1
Dacute :
singida apa
2026-10-06 06:46:21
1
Nadhiri⁹⁹🦁 :
mungu akuongezeee muarabu wet wa singida
2026-10-06 08:55:38
1
jumanasalma :
mashallah allah akuongezee zaidi
2026-10-06 04:35:08
1
aaa :
mashalla🥰🥰🥰🥰
2026-10-05 18:04:00
1
chuwaaa :
Mimi naona niviziri kuinyesha. kwani hili nisomopia. Kuna watu mungu kawajaalia lakini wachoyo kuludisha fadhira kwake. tukumbuke unapotowa nisawa na kumludishia mungu fadhira na shuklani kubwa. kwakuwa yeye ndio aliekupa wewe nayeye ndie Alie wanyima hao kwa wakati huo. ivyo inatufundisha kuwa na upendo na ukiwa natabia hii bas lazima uwe na eneggy ya Imani. enyi matajiri wachoyo mungu awape moyo wakutowa kwa wasio jiweza. acheni ubinafs ktk myoyo yenu. ebu angalia furaha anayopata aliepewa msaada na anaetoa msaada. nifaraja kubwa.
2026-10-10 05:21:05
2
Prince Mahami :
good job
2026-10-05 19:29:56
2
daimonii :
saf sana mwanetu
2026-10-05 18:50:00
2
To see more videos from user @abdalla9978, please go to the Tikwm
homepage.