I love you my brother ❤️mwenyezi mungu akulinde na akuepushe na kila mipango ya maadui juu yako uende Salam china na uludi salama kwetu Tanzania 🇯🇲 usitusahau wadigo zako hata kama hatuna undugu nitakuwa nikikuombea usiku na mchan uweze kulejea salama kaka tuta kukumbuk sana kaka
2026-10-05 18:02:08
6
user8677285979334 :
kk nakukubali mkuu
2026-10-06 06:05:01
2
kasongo :
ndege imehamuwa kutembea
2026-10-05 20:10:34
2
👑 KiBELLa oG :
NA MIMI NIPATE JAMANIIII 🥲🥲🥲
2026-10-06 09:17:42
3
khasimu hamisi :
kaka chin lini
2026-10-05 19:44:19
2
Evans Simiyu :
bana we ata kama sijapata gari ya kwendesha nitakua nikikutazama TikTok ila iyo nindoto yangu
2026-10-05 19:35:05
1
Aisha baby tz :
nakupenda sana kaka yangu mungu akutie nguv katika hatua zako ila kila hatua mtangulize mingu ☺️☺️soon mitakaa kushoto