@mwlonesmoprosperity: UCHUMBA NA MADHARA ya kuchumbia wengi au kuchumbiwa na wengi!listen @Mwl Onesmo Prosperity

Mwl Onesmo Prosperity
Mwl Onesmo Prosperity
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 17:53:37 GMT
109581
9789
146
1063

Music

Download

Comments

deluxysmartphones.arusha
DeLuxy Smartphones Arusha📲 :
Amina zilivyo nyingi sasa utasema nyie hamcheatig😁
2026-10-06 06:43:19
13
shynermoe
MONANA💲MOE🥀🥀🤱 :
kaka niseme tu amin😭😭
2026-10-05 20:27:07
8
giantmeek
GIANT PRO👽 :
🥺 mtumishi kanigusa,ilifika muda wa kuoana nae akafunga mlango wake sema Amina
2026-10-06 13:33:30
3
glory.njau7
Glory Njau :
yan mm nna miaka 9 cjui nmewekewa dawa mbna s hal yakawaida hii🥲
2026-10-05 19:00:00
5
melvinmamy1
Melvin Mamy🦋 :
Nan amemuelewa Onesmo 🤔nyiee kupotezewa muda kunaumaaa
2026-10-06 12:02:11
7
dneema5
Doshee Neema :
Alafu kumwambiaga mtu you’re not my type au siko tayari kuwa na mahusiano nawe, nimepata blah blah ni dharau aina ya kombora 💘
2026-10-06 09:15:53
5
neema.shabani02
Neema Shabani :
kweli baba mm nimekaa naeemwaka Moja nanusu akiwana shida namsaidia lakni siku Moja nikaona akaweka sister Yuko na mwana mke mwingine nilipo uliza nikaambiwa mm Sina ndgu aliendea kuposit kila paitwapo Leo nakuweka nyimbo zakuniumiza niliamua kumu black nisijue chochote kuhusu yeye
2026-10-06 07:59:03
3
81vailethfrank
81vaileth~frank :
natamani kama kuna mtu anaelewa hili
2026-10-06 07:17:57
2
rojamo318
CHAGA TZ :
barikiwa sana mtumish wa munguuu
2026-10-05 18:41:30
2
wina.luoga
Wina Luoga :
nice point mtumishi unanifundisha sn maishani kwangu
2026-10-06 14:23:54
1
noor.zahra.official1
✨️noor zahra 👑 :
yamenikuta daah nikaachwa vibaya
2026-10-06 15:33:33
1
thoma1268
thoma 12 :
ubarikiwe kaka kwa kusema ukweli,, ama kweli n Mbingu dunian
2026-10-15 07:36:20
1
_bunni5
Bunni 🌸 :
kweli babaaa
2026-10-06 06:25:13
3
levie3553
Lovie mickie❤️🥀🌹 :
kuchumbiana na kuwa na mahusiano ni tofauti au mnijuze please
2026-10-06 11:22:59
1
winifridafaida
winifrida :
amina barikiwa sana mtumishi
2026-10-06 15:00:28
1
a.g.a.t.h.a123
AGATHA♥️ :
Kabisa mtumishi🙏🙏
2026-10-06 05:04:23
1
ashura.mwavilenga
Ashura Mwavilenga :
kunawatu hawakuelewi nilitamani wote wakuelewe kamanilivoelewa mm mfano Halic
2026-10-05 19:31:43
1
ikodaomary
lkoda profile :
kwasasa hawapo hao
2026-10-06 10:27:57
1
dativa.massawe
Dativa Massawe :
Baba unagusa maisha yangu lakini namshukuru mungu aliniponya maumivu hayo 🙏
2026-10-06 04:48:08
6
user146783037522
denoo wa heaven$&& :
Amina mtumishi wa mungu nimejifunza kitu
2026-10-05 17:58:39
4
user8052916346637
Ma ebeneza :
Mungu akubariki sana kwa mafundisho yako mtumishi wa mungu🙏🙏🙏🙏
2026-10-06 04:59:05
1
gedeon.blessing10
Gédéon Blessing :
ukweli kabisa mwalimu 🙏 kibaya ni kwamba vijana wengi wanafikiriya kwamba kuchumbiya ama kuchumbiwa na wengi ndiyo kukuwa na ukomavu ama ukongwe kwenye ujana🤷‍♂️
2026-10-05 19:32:07
1
paschaljohnwaree
Paschal JohnWaree :
amina baba wambieeee
2026-11-19 14:36:46
0
user5971818299261
Baraka ernest 01 :
kweli kabxs 😄
2026-11-09 18:43:44
0
zainabumsangi592
mama jj :
Mungu uturehem kweli kwenye hili
2026-10-05 18:28:15
0
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About