@islamic_rihla: Wazazi wako hawahitaji kila kitu kutoka kwako. Mara nyingi furaha yao kubwa ni kukuona ukiwa na heshima, dini njema na maisha yenye kheri. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH MUHAMMAD BAHERO 🔸Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yenye kujenga imani na maisha. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Wazazi #Heshima #Mawaidha 🟠 FOLLOW US