@rev.adonijah1: Usipojua hili utakua mwanafunzi wa Musa(Mfarisayo) badala ya kua mwanafunzi wa Yesu. #tiktokkenya #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypviralシ #gospelstories

Rev. Adonia Charles
Rev. Adonia Charles
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 18:26:22 GMT
6040
288
29
13

Music

Download

Comments

samwel.sbm1
Samwel sbm :
1petro 3:3
2026-10-05 20:23:55
2
neemasalumu801
neemasalumu801 :
amen ubalikiwe
2026-10-06 04:36:20
1
muisrael6
Muisrael :
Sio kusikia tu!! Bibilia ndio inatupasatukufatisha nikweli kuvaa mawingi au kuvaa suruali ni dhambi! Haya makatazo yapo agano la kale na jipya chunguza au soma maandiko yote
2026-10-06 02:26:43
4
nurdinsaleh571
nurdinsaleh571 :
KUNA WATU HAWATAKUELEWA, LKN HUU NDIO UKWELI
2026-10-05 19:51:37
3
ibrahimndizeye
Marnatha yesu anakuja :
😁😁😁😁alafu kuna watu wanakwita mwalim daaah asiye soma ndoo atakwita mwalim mimi ambae nasoma nakwita mbumbumbu
2026-10-05 20:18:39
2
blackboy8525
Blackboy :
Kuna wengine wanasema matajili hawataenda ndo 2navojiliwaza sisi maskin
2026-10-05 19:30:52
2
kentte456
MDK :
lakini yesu alimwambia nenda na usitende dhambi tena
2026-10-05 20:27:06
2
mama_chibu_saloon
Mama chibu saloon :
kweli kabisa
2026-10-05 20:12:48
1
huruma.hamisi
@Thelight official :
sawasawa kabisa
2026-10-05 23:28:03
1
preciouslove610
preciouslove :
Mnatuchangaya tuacheni roho mtakatifu ataongoze
2026-10-06 05:22:37
0
stevpalmer0
Steven kamau :
Amen
2026-10-05 19:37:09
2
mose3854
broken English :
1 Yohana 2:4 Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake.HAUWEZI KUPATA UFLME NILA KUSHIKA AMRI
2026-10-06 03:41:43
0
daniellaizerkimya
Daniel laizer Kimyan :
ni kweli
2026-10-06 03:10:25
0
samwel.sbm1
Samwel sbm :
kuhusu vya kula sikupingi Wala mathayo 15:17/5:21/15:20na 5:3 warumi 14:20/14:14 n.k
2026-10-05 20:51:39
3
fighter.isral
fighter israël ,give light :
amen
2026-10-05 19:35:25
1
vladimirlauden
Vladimir zeleskyy :
acha kupotosha watu
2026-10-05 19:25:29
5
chrispinbabucadet
chrispinbabucadet :
aksante sana mwalimu. sasa kwani mwanamke kuhudumu kichwa wazi yahani bila litambaha, nimakosa?
2026-10-05 19:11:47
1
sl5180
SL :
wewe mwenyewe ndio unae leta injili ya namna nyingine
2026-10-05 20:35:00
2
user3306316814587
David ngoy :
mwalimu swahili kwako,kumbe neh ilikuja kutuokowa ili tupate kwendeleya katika dhambi ?
2026-10-05 19:56:02
1
josepfrihx2
Mtumishi Odimary :
na waende Kwa Sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawasawa na Neno kwao hakuna asubuhi Mathayo 5:17 sikuja kutangua torati bali kuitimiliza acha kupotosha watu
2026-10-05 19:44:03
1
mwanajeshi227
generalisang2 :
usifatishe mitinda ya dunia, ukiona bado unawaza kunyoa mitindo au mavazi yako niya mitindo, ujuwe bado huna roho mtakatifu,mungu siyo mwanasiasa akisema acha dhambi nikuacha, sasa wewe unae dhani kua mwanaume akisuka ni sawa kwa mungu shauri yenu
2026-10-06 03:59:56
0
mose3854
broken English :
Yohana 7:10, 14-15 10 Hata ndugu zake walipokwisha kukwea kuiendea sikukuu, ndipo yeye naye alipokwea, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri. 14 Hata ikawa katikati ya sikukuu Yesu alikwea kuingia hekaluni, akafundisha. 15 Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma? KAMA NI MAMBO YA VIBANDA YESU ALI SHIKA VIBANDA
2026-10-06 03:46:30
0
dixmax11
DIXMAX :
najua wanawake walio suka wamefurahi kusikia hii
2026-10-06 04:49:10
0
alicekenga
💘BubblydDice💕 :
🙏🙏🙏
2026-10-05 22:00:28
1
mirella4421
Mirella :
😂😂😂
2026-10-05 18:44:18
1
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About