Ndio sehemu pekee anayotegemea kwa ajili ya kipato pakiungua ataishi vipi, Maisha ni mtihani sana dah 😌
2026-10-05 20:55:00
2
20% parcent :
weeeeeee me sisogei apo
2026-10-05 21:11:22
0
ibra :
mh anajitoa sana boss asije kumfukuza amekoa jahaz ingeungua yote
2026-10-05 20:51:20
0
iblahim kataila :
yan apo kama mimi ni miguu nisaidie
2026-10-05 21:15:55
0
alibely.com :
Sio fundi ila kama wewe ni muelewa wa mambo hayo ukifungua pale kuna vile nya kushusha na kupandisha so kama aviko sawa utaona tu unagusa ambacho unaona akiko sawa na ndipo unakuwa umeokoa jaazi au zima meniswich mzima ukiona vinakuchanganya ndo unaona mwamba pale kaokoa jaazi✊🏿✊🏿👍
2026-10-05 21:03:07
0
DreamerFx. :
umejuaje kama co fundi?
2026-10-05 21:14:40
0
jecka :
du uyu noma
2026-10-05 21:12:49
0
MYRIQ :
mim ni fund il ap sikaribii wait zim moto tu au man semaj 🤣😂😂😂
2026-10-05 20:51:09
0
Vasco da gama :
kwani huo mfumo auna kutrip
2026-10-05 20:03:51
0
dalali ngikatheboy shinyanga :
Daaaah ametisha sana
2026-10-05 19:59:31
0
Mchaga Tz 🇹🇿 🇰🇪 🇿🇲 :
mm na swali mbn nyumba haikuzimia umeme alivyo zima
2026-10-05 19:52:50
0
Iconboy :
akipigwa shot inakuwa aliingilia kazi🤣🤣🤣
2026-10-05 19:54:58
1
lulu cars & collection :
mh apandishwe cheo huyo
2026-10-05 21:10:24
0
The Greatness of God🤲🙏🏼 :
Boss wa hii restaurant inabidi ajiongeze afanye kitu kwa Huyu mpishi🙏🙏🙏
2026-10-05 20:45:05
0
panther🫰 :
anapenda kujiamulia mambo uyooooo
2026-10-05 21:03:46
0
JOPHREY ELECTRICAL SOLUTIONS :
😳😳😳😳
2026-10-05 19:37:45
0
To see more videos from user @mnallaelectronics.1, please go to the Tikwm
homepage.