Mimi mama yangu alikuja siku 3 tu tayari akawa na boda wakee🤣🤣🤣
2026-10-05 19:43:42
589
Erica 🦋 :
Mm nimependa hiyo pesa hapo kabatini
2026-10-05 20:16:25
131
aisha :
mi mama yangu anapenda kusalimiana jaman khaa majirani wote anawajua[Laugh approved]
2026-10-05 23:06:10
37
aurelia2306 :
Mimi kuna kipindi nilipanga nikasahau nilipopanga ikabid nimpigie dalal akawa hapokei cm ,,, npo tu mtaani mpk sa mbili uck ndo nikampata akaj kunipeleka kwangu 😂
2026-10-06 07:58:33
12
Veronica collection :
tv nchi 43 Samsung how much
2026-10-06 06:20:54
0
MARTHA :
Pete umenuna wap naomba nijib plz
2026-10-06 05:58:40
0
FAV🧶R3D__ :
Jack of all trades Momo😂😍
2026-10-06 06:45:06
0
Natashar :
mpe na mafuta mazur
2026-10-05 19:50:38
12
DOREEN🫧 :
Me nataka tuu hyo elf kumi 😌
2026-10-05 19:12:42
70
Anty muu :
feni sh ngapi🤪
2026-10-05 20:18:33
6
Anna Mlay :
mbadilishie na mafuta azidi kuwa mremboo[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-06 06:30:56
0
L:KAZUNGU🇹🇿🇹🇿 :
Mimi nimeipenda hii niliyowekea alama unauza bei gani
2026-10-06 06:29:34
9
mary :
uko wsp
2026-10-06 07:15:34
0
Hustlermom :
frij shingap
2026-10-05 20:39:56
0
🦋 its s :
Mim nimekipendaa chumbaa
2026-10-05 21:26:52
0
Dada Jemima stylist saloon🥰🔥 :
Kitanda bei gn dear
2026-10-05 19:06:01
7
Strong Lady :
Kitanda kizuri
2026-10-06 06:13:46
0
𓆩𝓑𝓛𓆪~𝓒𝓸𝓵𝓵𝓮𝓬𝓽𝓲𝓸𝓷 :
10/10
2026-10-06 08:58:26
0
veenah🍬🍭 :
kitanda km iko 5-6 bei gan
2026-10-05 23:07:08
0
Tynar88_franklin 🤍🦋 :
Mnafanya top up ???
2026-10-05 21:23:37
0
Aikangowi :
Kitanda sh ngap my
2026-10-05 21:34:47
0
naah🦋🫶 :
Kitanda bei gan
2026-10-06 06:13:33
0
shadya :
nimepend saaa iyo
2026-10-05 19:25:08
1
Vick Kukupoint~Mwanza🐓🐓 :
Fridge bei gan
2026-10-06 04:14:46
0
fridah :
kitanda kama hicho chako shingapi dear
2026-10-06 03:09:16
0
To see more videos from user @itsmomo12, please go to the Tikwm
homepage.