@chapasmart_tz: Pesa BORA ni ile inayofanya kazi, si inayolala! Kusave pesa ni hatua ya kwanza, lakini kuwekeza ndio siri ya uhuru wa kifedha. Pesa ukiiacha kwenye akaunti ya akiba inaliwa na mfumuko wa bei. Ukiiwekeza kwenye fursa sahihi, inakuzalia faida. Badilisha mtazamo leo: Acha kusave tu, anza kuwekeza! 🔥 #UwekezajiSmart #PesaIkufanyieKazi #KuaKifedha