kaka una nikumbusha mbali tulilazwa mimi na familia yangu wote hospital ya mkoa kisa makande
2026-10-06 05:17:34
40
D££ ph™🏴☠️ :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa 😁😁😁
2026-10-05 19:06:27
40
🦋ley issa💦🦋🦋 :
ilibaki kidog nife sitokuj kuludia ten 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-05 22:56:14
13
Mamu🥰 :
[Tears of joy][Tears of joy]mi nimeanza saizi nataka nione mabadilik ya kikemikali sijui kita tokea nin[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 20:48:51
0
user2607041355917 :
sio kweli we kajali utaona TU [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-05 19:27:14
1
fullhaus :
charcoal produce carbonmonoxide(CO),which are one of toxic gases
2026-10-05 21:26:43
1
diack_mp_ :
tutakutafuta tutakupata tuuu
2026-10-05 18:58:31
11
Naklet :
jalibu tuone
2026-10-05 19:29:58
1
preciee🤍💫 :
Ndio kama huaminu jaribu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 19:00:57
3
jasmne leslwa :
we acha me na mme wang sikuhy tulikesha hospitar ya dodoma jenuro tulishinda tulilud nyumbn saa 9 uck kisa wali tu
2026-10-06 05:48:37
1
Elias Malando :
Of course
2026-10-05 19:34:29
2
nkungu lolida :
mi na wife tuliponea chupuchupu, na bahat tulikuwa Bado hatuna mtoto, halafu ni iliwasha jiko akabandika maharage saa 11 alfajir halafu karudishia mlango karud kulala, huwez Amin tulishindwa kuamka ni mungu tu mpangaji mwenzetu alikuja kusukuma mlango katukuta tunagaragara tuko uchi🤣🤣
2026-10-05 21:59:09
7
user1818163687196 :
mm nilitaka kufia ndani kisa mahalage mkaa tulikuwa washida Nika lala nayo chumban saa sita usiku kifo njenje ,Majin simajin, uchizi ci uchizi weeee nakijua hiyooo
2026-10-06 05:51:05
1
David paul :
mbn Mimi kaka nalalaga nalo kila siku
2026-10-05 19:09:48
1
🍁miss baek🌿🌿 :
me mwenyew sjui ety nikwel
2026-10-05 22:17:59
2
Dudu baya :
niuongo me nyumba ni bard nawekaga chini ya kitanda ndo nyumba ikue na joto
2026-10-06 02:45:45
0
Merry Kahesya :
bila kupepesa macho imewahi nitokea ila niko hai 2020 ilitaka iondoke na mm
2026-10-05 19:33:43
6
William Daud :
jarbu uone me nishajaribug
2026-10-05 19:29:42
1
felister juma :
hapana
2026-10-05 19:24:02
1
💋"🌹Pretty Ever 🌺"🥀 Echo :
Jaribu uoneeee😐
2026-10-05 19:13:13
2
neema :
nitajaribu nione
2026-10-05 19:50:37
2
Nick OG ☺️☺️☺️ :
mm mwenyew natak kujifunza kupitia ww
2026-10-05 19:20:03
1
Abdu Smart Electrical :
hapana tutakupotezea
2026-10-05 19:02:03
0
Veronica John :
jaribu uone kama nikweli
2026-10-05 19:27:52
0
To see more videos from user @blay621, please go to the Tikwm
homepage.