yaani mtoto wa watu katunza bikra leo mnakuja kumuumiza kiasi hiki Mungu awalaani sana
2026-10-06 06:47:55
21
Irene Rechad :
wamezidi utapeli
2026-10-06 07:54:55
5
namsifu :
maskini kalikuwa bikra
2026-10-06 04:16:06
32
Mas Genius🤫 :
Nataka ujue jambo moja muhimu sana: ulichofanyiwa hakikuwa kosa lako, na hakupunguzi thamani yako kama mwanadamu. Ukatili uliotendwa dhidi yako haukufanyi uwe mchafu, mwenye aibu, wala mtu wa kutengwa. Aibu na lawama ni za aliyekufanyia hivyo, si zako.
Usijione peke yako katika kipindi hiki. Kuna watu wanaoweza kukusikiliza, kukuelewa na kusimama pamoja nawe bila kukuhukumu. Huhitaji kujifanya uko sawa kila wakati; ni sawa kuumia, kulia, kukasirika au kuhitaji muda wa kupona.
Tafadhali usiruhusu kitendo cha mtu mwingine kikufanye uamini kwamba wewe huna thamani. Wewe bado ni wewe una thamani, unastahili heshima, upendo, usalama na maisha yenye amani.
Chukua hatua moja baada ya nyingine. Usijilazimishe kusahau haraka. Uponyaji ni safari, na haupaswi kuipitia peke yako. Mimi nipo hapa kukusikiliza bila kukuhukumu. ❤️
2026-10-06 07:38:34
48
Fey09🎀 :
Jamn inaumiza😕
2026-10-06 05:13:40
31
Ray Son :
Kulawitiwa maana ake nn eti
2026-10-06 04:44:06
5
magreth🥰 :
kikubwa uhai mshukuru MUNGU hujafa na utapona too Dear
2026-10-06 06:08:42
14
🎀Zee Ford🦋🏝️ :
Jaman Jaman jaman jaman 😭😭😭😭Eeh Mungu lipa haya machoz ya huyu bint kwel kumbaka haitosh na kumlawiti tena jaman kwel 💔💔😭😭😭
2026-10-06 08:00:13
19
Maria jeremia :
pole. san
2026-10-06 05:08:43
6
Saidi Rajabu :
mkuu wamkoa waArusha kaziyake nini sasa kilasiku matukio2 jamani
2026-10-06 07:00:42
19
BUZORY :
jaman pole sana bint MUNGU akusaidie
2026-10-06 04:27:16
15
Veronica 🌹🌹🌹🌹 :
pole sna mdogo wangu inaumiza sna
2026-10-06 03:15:48
11
Mrs JJ Kyando :
Mungu akubariki wew mwanamke uliyembeba na kumstili huyu binti Mungu akulindie watt wako
2026-10-06 07:46:03
6
Emma's daughter :
daaah maskin tunapitia shida sana pole jaman
2026-10-06 09:59:15
9
rahmaa🫶❤️ :
nimeumia kama ni mimi ndio nimefanyiwa
2026-10-06 06:37:22
11
user6206077081785 :
alafu Arusha haya mambo yakishenzi yanatokea sana.
2026-10-05 21:43:06
9
TRICE SALOON MWANZA :
Nimewai fanya hii kazi ni ngumu sana aisee 🙆🙆mungu amsaidie uyu bint
2026-10-06 06:49:31
10
yastesha :
eeee pole sana mdogo wangu...... awahishwe hosp akapatiwe dawa yakuzuia kupata vvu....... Pole sana pole sana
2026-10-06 03:53:24
8
Sweettotolishe :
Arusha Iko Tanzania kweli..Mungu akupe uponyaji Mdogo wangu
2026-10-06 06:35:57
6
@kamammytoto3 :
sorry darling mungu akupe nguvu
2026-10-06 02:52:45
9
Sanjer Simon :
Daaah nimeumia sana jmn 🥹 binadamu tumekuaje. Mungu akutie nguvu hiki kitu kisikie2 jmn roho imeniuma sana
2026-10-06 06:44:45
5
To see more videos from user @oscar.langson, please go to the Tikwm
homepage.