@dr..suleiman.c..mu: "Ukweli kuhusu MELASMA 😳❌" Je, unahangaika na madoa meusi au ya kahawia usoni ambayo kila ukitumia cream hayaishi? 🤔 Hiyo inaweza kuwa MELASMA! Melasma haitokani na uchafu. Vyanzo vyake vikuu ni: 1️⃣ Mabadiliko ya Hormones (Uzazi, mimba, au vidonge vya majira) 2️⃣ Mionzi ya Jua (UV Rays) Bila sunscreen, melasma haiishi! 3️⃣ Kuvurugika kwa ngozi kutokana na cream kali za kujichubua. Jinsi ya kuitibu kisayansi: TUMIA Sunscreen kila siku (hata ukiwa ndani ya nyumba)! ☀️ TAFUTA viambata kama Alpha Arbutin, Kojic Acid, au Retinol. MWONE daktari wa ngozi kwa matibabu ya ndani. Okoa ngozi ya rafiki yako kwa ku-share video hii! 🧴✨ #melasma #PrideHealth&Wellness #matibabuyamelasma #skincaretanzania #madoausoni