independent consultation hata si shida anaweza toa certificate alafu mtu akaja ongeza load
2026-10-06 08:46:19
0
nuru :
kwangu mimi siko convinced na watu wa tanesco maana kwanza kabla ya kumlaumu fundi ilitakiwa kujua load ya ile nyumba Kisha waje watowe hiyo statement kuhusiana na waya maana. what if kulikuwa na tatizo kwenye circuit breaker na ikatokea short-circuit then breaker ikashindwa kuditect hilo tatizo
2026-10-06 00:12:08
1
Misha Electrical 🇹🇿 :
That’s true brother
2026-10-06 04:18:30
0
frankpowersolutions :
natamani kufanya kazi na wew
2026-10-06 04:56:24
0
Automation Tanzania :
umebonga kaka
2026-10-05 20:00:35
1
Electrician :
kunakitu haujakizungimzia broo nimeona Leo kwenye account ya EBM electric wao wameweka looping na wire wa 16mm alafu mteja kaleta Fundi wake katoa 16mm kaweka 1.5 veep hapo jengo lingeungua bado angeshikiliwa EBM wateja nao wanamakosa pia waambiwe ukweli mwijaku kabla hajamshikilia huyo aliepiga wiring atuambie fundi wa mwisho kufanya service ni nani??
2026-10-05 21:37:51
1
effort electric 💡⚡🪖🦺🥾🗞️ :
exactly senior 💯
2026-10-05 19:47:22
0
MARINDO BOY :
najuwa hapo unazungumziya QC ila siyo watu wote wanajuwa icho kitu ila ishu piya siyo fundi kwa akili ya kawaida2 uwezi kuwa na jengo kubwa lenye mambo mengi qlafu ukaweka system za umeme za kitoto kama zile,,alafu asaivi uwezi kufanya kazi kama ile kama hauna lesen ya EWURA hapo shida usikuta mwenye nyumba kuepuka garama
2026-10-06 04:27:49
0
dhohaaan jr :
Sahihi kaka
2026-10-05 20:49:28
0
💞#DANI_LIFESTYLE💫 :
kuna changamoto kubwa kwa wateja wa sasa.... wateja wengi miyayusho... unaweza kufanya kazi kisha mteja akaleta mafundi wengine kuja kufanya mambo mengine.... WATEJA WAKISHA KUWA NA PESA WANAONA WANAJUA KILA KITU
2026-10-06 12:39:20
0
poloelectronics :
wateja wanazingua sana unampa quatation ya kufanya vitu kwa usahihi lakini tajiri anataka kupunguziwa bei unadhani nini kitapungua kama sio material cheap is always expensive
2026-10-06 10:21:08
0
DULLY TZY ELECTRICAL GROUP :
heshima yako wewe
2026-10-05 19:55:31
0
SAM ELECTICAL & ICT SERVICES🔌 :
ajasema fundi kazingua achaumbea
2026-10-06 01:30:00
0
SHONDE UMEME 💥🥷 :
👏👏👏🫡🫡
2026-10-05 20:02:27
0
sportstvhd2 :
👏👏👏
2026-10-05 20:21:29
0
To see more videos from user @uniforce_energies, please go to the Tikwm
homepage.