@suu_quotes: #viarl #trendingvideo #creatorsearchinsights #one_tz

ONE TZ
ONE TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 19:52:24 GMT
391486
13416
1149
257

Music

Download

Comments

user9253609105160
[email protected] :
[Crying][Crying][Crying][Crying]dogo ako mkoa gani tumtafutie kazi na atuonyeshee huyu jamaa alipo akii[Crying][Crying][Crying]
2026-10-10 14:23:32
0
jeftetboy
jeftetboy :
kaziguwa[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-09 15:04:49
0
ninjahassan3
KABASA GREAT CLAN :
hii ni moja ya utani nilishawahi fanyiwa kipind nauza mayai hat sio kwa ubaya mtu akifany hivi ila ni moja ya utani ,upendo na motivation
2026-10-08 18:37:10
206
user4202873101685
FOLOWERS.100k :
mm nikifanya mapenzi mbona sikojoi
2026-10-08 13:20:08
36
masungakilulu94
masunga kilulu :
daaah loho inaniuma kuitazama hii picture 🥺🥺🥺
2026-10-09 20:34:14
1
nzwiry_26
Nzwiry_26 :
Sema ndio hvyo life letu wakiume tunajikaza usoni ndani maumivu makali
2026-10-05 21:34:36
191
moshitz492
Moshi Tz :
hawa ndo wanaotupa ujasir wa kupambana
2026-10-08 14:51:29
32
jamalihusseni70
NGALA FRESH VIGITABLE SUPPLAY :
guyz hii sio dharau niutani hawa madogo tunakutana nao sana sehem tofaut wengne hata hayo mayai hawapendi ila tu unachukua 1 unampa 2000 ili kumpa nguvu huku ukimtania ajione wathamani kila sehem hivyo tusimchukie jamaa
2026-10-09 13:59:17
71
hussainmaula6
HUSSAIN MAULA TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Sijapenda kabisa
2026-10-05 21:13:13
83
user677525695675emilly1
Quine trisael❤️💯 :
bro karma is real🥱🥺
2026-10-09 18:36:46
0
innocent.karani17
innocent karani :
YUKO SAHIHI HURUMA SIO MALEZI
2026-10-09 18:24:54
21
bihumayyah
Bihumayyah :
kwann umfanyie hivo mtoto wa mwenzio
2026-10-05 21:55:04
41
silverrockshine
silver rock shine☑️ :
PENGINE UTANI
2026-10-06 05:19:04
37
mrs.wa.mume.wang4
sakinah da princess :
Ila Binadam hatuna huruma kbsa
2026-10-05 20:21:22
42
rivalson42
RIVALSON 🦉 JR forever :
jaman nimelia leo toka nizaliwe sijawai lia
2026-10-09 09:04:50
7
jojo.love9268
💋💋Nilam wa Mudi 💋💋 :
kwanini una fanya watu walie ume umiza moyo wangu
2026-10-08 17:39:53
6
nancybrk10
official nanah,🖤🤍 :
hata kama malezi sio huruma jmn imagine ndio mtoto wako anafanyiwa hivyo
2026-10-06 06:09:49
8
swaumuomary305
ummy🥰 :
nmeumia mnoo daaaaah mungu amuongoze dogo kweny utaftaji wake
2026-10-08 12:52:25
10
mughusi1
daly :
Aliyemfanyiahivi natamani nimtukane ilaMungu amjazie huyu mtoto ☺️😇🥰☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
2026-10-05 22:14:18
16
salamaally506
mrs🍉 :
roh imeniuma jamani nashindwa ata kusema zaidi😭😭😭
2026-10-05 22:07:23
8
vanessa.kinyaiya7
Vanessa Kinyaiya7 :
munguuu eanguu niaeeewamino amlaahani
2026-10-05 21:34:02
7
user8121836200772
afifah_kidimpo :
hamjiulizi kwann kafanya hvo huku akimrekod...mawazo yangu amefanya hvo ili muingie na roho ya huruma kumpush mtoto kwa chochote labda ye uwezo wake miatano ya kumuungisha hilo yai....kuna mda inabid tufikiri kabla yakuhukumu😊😊
2026-10-06 13:05:22
13
bjoneskid7
Bjoneskid :
Noo sema nini wanangu unaeza kuta jamaa kafanya kwa upendo Tu ila kuiletaemitandaoni ni vile kila mtu anavopokea ila ukikaaeukafikilia mbna vitu vingi vinavyofanana na iki kitendo tunavifanyaewengi sema ndio vile huez jua mapokez ya watu na impact ya baadae ila tu kwa mfano unaeza kuta jamaa alikua maybe anamtania tu au ile kumchangamsha dogo huenda pia alimsapot kifedha ila kwakua sura ya dogo inaonesha huzuni sio maana ya kwamba alikuaeananyanyaswa unaeza kuta dogo hakua amekula au kuuza ata kwa muda koo kuchekaea au kumwelewa mtu haikua rahis ila all in all Mungu ndiye anajua vema kuwajibisha watu kwa vipimo sahihi 🙏🏿🙏🏿
2026-10-08 15:13:42
18
user6829885087393
C@sh Money 💸 :
mdogo wangu usika silike yape muda tuu hayo
2026-10-05 21:58:32
7
brokensoul1704
@broken soul💔 :
Hivi mbn watu hawana huruma me naumia jmn umaskin mbaya🥹💔🙌
2026-10-05 22:00:55
8
To see more videos from user @suu_quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About