@favoredlaila: @Dr Rose Shaboka DOMINA ALINIFANYA NIKAWAFUNDISHA WASHIRIKA NAMNA YA KUCHAGUA NA KUWAJUA MARAFIKI WA KWELI....... @domie_parfume I heard your story and I was touched. Pole sana Kama una rafiki wa kweli m-tag mwambie asante..... Wapo wanadamu wachache sana kama#tunashindanazaidiyakushinda #roseshaboka #rafiki #favoredneema #goviral
Laila Juma Miraji ❤️✝️
Region: TZ
Monday 05 October 2026 20:40:24 GMT
Music
Download
Comments
Anthony :
Asante mm
2026-10-06 09:52:05
1
Judith.G :
very true this is me opening heart to everyone
2026-10-06 16:09:21
1
lilian pendo :
That's true
2026-10-06 08:05:01
1
furahaerick04gmail.com :
Good point
2026-10-06 07:03:25
1
mercy masunga :
kumbe ni story ya kweli
2026-10-06 05:04:31
24
official v :
yaaaani niliumia sana hii story arafu niyakweli kabisa
2026-10-06 05:27:48
20
Mzulu Mzulu :
Sio rafiki 2 hata ndugu wa dam !! Mungu atujarie macho ya moyon unafiki umetamalaki sana dunian 😳
2026-10-06 10:58:05
12
Firstlady15 :
Exactly 💯
2026-10-06 07:37:37
0
MadamBoss💰💵 :
Always pray for discernment
2026-10-06 08:23:50
3
mom's daughter :
huyu anasema kweli marafik wanafiki nilmnunulia rafiki godoro hakuwa na pakulala lkn alivoendelea kuona mafanikio yngu🥺🥺
2026-10-06 05:41:27
10
Jayne Mwende :
kina Juda nimekutana na wengi na wengine tumezaliwa na mama na baba mmoja
2026-10-07 06:39:54
1
Esther abaweze wemasepetu Bkv :
Mungu aku bariki
2026-10-06 19:04:35
3
stevenmazua1 :
je tufanyeje Sasa nachanganikiwa😭😭😭
2026-10-06 07:16:44
5
Sonia dangote :
Sina hamu namarafiki 😭😭😭💔 ninaushuhuda eeeeeee sitaki
2026-10-06 09:24:52
6
Upendo mtumishi :
Mungu nipe macho ya rohoni
2026-10-06 04:08:00
10
Mildred ayuma :
Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-10-06 08:14:06
1
philimon gwangway :
nipeni maarifa hivi ipi bora kati ya kuwa na marafiki na kutokuwanao kabisa
2026-10-06 20:14:03
3
rachly05 :
Hivi kweli nisimame au niikae kwa kusema🥹🥹😌kama haujawai rogwa na rafiki yako wa karibu we pita tuu sisi tumerogw na tukarogeka weeeh😭😭
2026-10-06 19:44:30
1
janethkiwili :
hii story imenifunza
2026-10-06 18:11:24
1
Angel Cute🥰 :
Ndio kabisa
2026-10-06 09:56:22
1
Officil momo G :
sasa my tutawajuaje hawa watu jamani
2026-10-07 05:29:06
0
WITIE :
Amina amina aminaaaa🙏🙏🙏🙏
2026-10-06 16:11:22
1
jay_collection16 :
Marafik 🙌🏿 kwanz wengiwao wachaw😏
2026-10-06 18:47:13
1
christy :
hii neno imeniguza
2026-10-06 09:57:17
2
Makisha :
Marafiki ni ma Nyika
2026-10-06 15:08:36
1
To see more videos from user @favoredlaila, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.