@pastorellymwasenga: Mbona ni kama Wanawake wanatafuta maisha kuliko baadhi ya wanaume?

Pastor Elly Mwasenga
Pastor Elly Mwasenga
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 20:42:49 GMT
35586
2758
108
111

Music

Download

Comments

user5461855387494
isojick :
paster where are you I have a big surprise for you 🥰
2026-10-06 18:09:39
0
blue28916
🎀Ms~L.i.s.s.A.h!🌸 :
Wanawake wote wapambanaji Mungu aendelee kutupa nguvu zakupambana zaidi 2027♥️
2026-10-06 07:39:27
112
sofia.matiku
Sofia Matiku :
wewe hereee
2026-10-06 14:20:25
0
mamaemmey0
neema :
💪Asanteee wapambanaji tujuane
2026-10-06 11:39:35
20
catherine.pm0
Catherine PM :
atanishtaki mpaka akome ila hela yangu hatoiona kamwe
2026-10-06 09:33:05
10
triceymusic
tricey :
Preach man 📌
2026-10-06 06:35:52
2
lewisskellyfan
CPM :
saiv hakuna wanaume
2026-10-06 07:39:54
4
monicachacha136
Monica Chacha :
wambie
2026-10-06 05:29:42
4
user4680490452758
sharon :
kabisa yani kitakachosaidia ni maombi tu na neema baba
2026-10-06 07:50:09
1
suzy.philipo3
Suzy Philipo❤️❤️ :
Labda mwanaume umebaki wewe na anae soma comment yangu
2026-10-06 10:03:38
1
gullandgrace
Vannah sweet cakes usagara mza :
kama saiv niko macho jmm napika kekii aiseeeee aagh ni hatari jmn helaaa pesa aka rambirambi aka fungula kumi aka sadaka. aka mshahara😂😂😂
2026-10-06 20:16:43
1
marrykyando630
marrykyando630 :
Asante mtu wa Mungu
2026-10-06 14:14:10
2
pastor_festomkirindi
Festo Mkirindi :
Asante sana Pastor.
2026-10-06 03:39:11
5
user6330451275139
kinguluila8888 :
Lazima wabadilishe mind set Kwa sasa
2026-10-06 11:23:29
2
jesycute_001
jesca :
kwa kweli hili na mm nimeligundua sema kufikisha kweny jamii ndo umenisaidia Amen
2026-10-06 04:36:56
3
leonia1598
leonia :
naweka status
2026-10-06 07:21:07
2
getrudehipolity
getrudehipolity :
Amen baba
2026-10-06 05:02:48
2
msulemwogofi22
Msure culture :
AMEN!
2026-10-06 05:36:46
2
bbbbbbbbbk5
evol :
hakuna uchawi ni uzembe
2026-10-06 11:07:30
1
rosemarymagwina
rojoma :
Wanaume wanaona nikweli hata kucomment wameshindwa
2026-10-06 09:14:17
1
janeth.lujara
Janeth Lujara :
waambie mchungaji
2026-10-06 05:28:23
2
adraida.jovius
𝒽𝓊𝓂𝒷𝓁𝑒 𝑔𝒾𝓇𝓁 ✨✨ :
Ninyi wenyew mnasema mnataka wanawake wapambanaji mbona hatuwaelew Sasa 😳😳
2026-10-06 12:12:52
0
joydefovoured
Joy de fovoured :
Amen Baba Mungu akubarikiii sanaa hakika kuna ka uvivu baadhi ya wanaume wanako wanachosha mnooo
2026-10-06 08:40:55
2
i.am.ticah
Tee🌹🦋 :
Waaambie
2026-10-06 07:19:15
1
dius_191
dius_19 :
kweli kabisa
2026-10-06 05:50:35
1
To see more videos from user @pastorellymwasenga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About