@hubofwisdom.inc: "Ukiwa haupo sawa na baba yako utapata laana. Ukiwa haupo sawa na mama/mke wako unapata mikosi." -- Sikiliza falsafa za Dr. Ellie VD. Waminian

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 21:26:34 GMT
47709
1669
33
161

Music

Download

Comments

jack.ma6983
Jack Ma :
kwanni utumie past experiences to determine future
2026-10-06 09:11:08
4
elephanto_byamonde
buklyric :
interested
2026-10-06 17:20:02
0
.consuetudo
Consuetudo Vitae :
sio kila sehemu unayokataliwa inamaanisha mikosi,sometimes unapokataliwa MUNGU anaendelea kukutengenezea sehemu nzuri zaidi na kabla ajakuleta kwenye iyo sehemu lazima akupitishe kwenye moto ili uwe dhahabu.
2026-10-06 05:40:45
10
clarencechaplin7
CHARLIE CHAPLIN :
napata Wapi Full Ya Hii??
2026-10-06 07:18:57
3
demulemzaliwa388
Demule Mzaliwa :
kama brother Baba yako amefariki inakuwaje Jambo Hilo.
2026-10-06 14:32:56
1
wantedsniper2
Wanted Sniper :
Je nikipenda Mama na Baba sijawai mpenda kwa maana kwamba sijawai,mjulia hali wala kumhudumia hata kidg. Je nitapaswa na laana? am kulingana na kwann simjulii hali?
2026-10-06 15:53:21
0
estaban_jongwe
Esteban Jongwe :
hakuna kitu kama hicho
2026-10-06 08:40:26
1
swetbet1
swetbet :
JE UKIWA HAUPO SAWA NA MTOTO WAKO HIYO IMEKAAJA MZAZI UNAPATA NINI? naona mnaangalia upande mmoja
2026-10-06 16:13:47
0
user3497083291961
Igzabieher :
hii ndio alhalisi na almaalumu ya kizungumkuti
2026-10-06 14:47:31
0
mussaabdallah711
Mussa Abdallah :
Mimi hua nakuelewa naomba kujifunza mambo meng kutoka kwako
2026-10-06 16:20:56
0
sonia.dangote
Sonia dangote :
sasa sisi hatujuwi iyo baba mama naye amesha faliki tufanyeje 😳
2026-10-06 10:38:07
0
user631137212257
Nyamongo Da G collection :
Heeee na wale waliozariwa....Bila kujua baba zao kwahyo laana wanazipata tu...unakuta mama ashamzuia mtoto kumtambua Baba ake
2026-10-06 12:53:13
0
aisha.babu4
MAI :
kusema kweli mimi siko sawa na baba yangu yaani wazazi wa siku izi
2026-10-06 11:12:17
0
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
kweli
2026-10-06 05:19:28
0
user8476033696156
tikrok :
huu mdaharo ni mugumu sana kama hujawahi kukutokea ndgu mwenye maamuzi ya mwisho katika maisha ya binadamu ni mungu pekee
2026-10-06 05:45:11
3
kk113830
Kk,113 :
💯💯💯
2026-10-06 03:34:11
2
paul.nassor
Paul Nassor :
🥰🥰🥰
2026-10-06 03:24:34
1
dicksonalexe
user6094620616614 :
🥰🥰🥰
2026-10-06 15:14:14
0
desireshoes12
kkkkk :
🙏🙏🙏
2026-10-06 08:23:40
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About