@betizaghassani: Namlilia Raiyyan #betizaghassani #zanzibar #mohammedghassani #swahilipoetry #nnakwetu

Beti za Ghassani
Beti za Ghassani
Open In TikTok:
Region: DE
Monday 05 October 2026 21:57:13 GMT
21449
1151
205
206

Music

Download

Comments

ibnmoo33
ibn moo :
[Teary eyed][Teary eyed] moyo unauma
2026-10-06 03:48:02
1
asha52470
Asha :
Yaaaa Allah tulindie watto ht km tushaondka dunia hkika kuna mmbo yakikufka yanaumiza sana [Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-06 07:40:03
1
allykindi
Ally Kindi :
muuwaji nahisi unaona maumivu yetu utafikiwa tu huwezi zulumu roho ya mtt kwa tamaa zako
2026-10-06 03:40:46
35
user4370537241881
💞💞 :
machoz yamenitok Mungu ajalie kifo chke iwe sabb y kuingia peponi 🤲
2026-10-06 03:51:46
48
khasu230
khasu230👌zanzibar🇹🇿 :
maskini mdogo wangu allah ampumzishe na amuweke miongoni mwa watu wa bustani za peponi
2026-10-06 02:54:35
55
user25422507655152
makame mkojani :
wazazinzbr wapemba na unguja jmn hili ni pigo kwa sote
2026-10-06 04:44:32
11
user4014427040043
me :
Heee bc ten watanzania hongeren akaa
2026-10-06 07:04:59
1
ikramhemed
ikramhemed :
juzi niliona video za msichana kutoka nchini HAITI aitwae baby love ambae amekatwa na mapanga akiwa hai na genge la wahuni na kurekodiwa nilisikitika sana kuona wanadamu tunamzidi hata shetani kwa matendo yetu. Leo tena RAIYYAN kutoka nyumban Pemba nimeishiwa nguvu, Yaa Allah tustiri waja wako, kwakweli nawaombea subra na nguvu wazazi, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wote walioguswa na tukio hili. Allah ampe kauli iliyo thaabit na amlaze mahali pema Rayyan, na sisi atuajaalie mwisho mwema. AMIN
2026-10-06 05:42:33
8
mamanasreen
MamaNasreen :
inaliza ihii nashid😭
2026-10-06 04:21:24
6
a__mamanaaa
@mimah make up pemba :
wallah napata na uchungua mm kwa haya mauwaji naumia 😭😭😭😭😭😭
2026-10-06 02:54:19
23
muny731
𝑴𝒖𝒏𝒚👸 :
:Tutakuombea kwa Allah Rayyan Allah ailaze roho yako pema palipo n wema na akujalie jannnatulfirdaus n tunawaombea wazazi wake Allah awape subra n Imani
2026-10-06 03:17:47
30
user6861068354786
official s 💞 :
justice for raiyyan 😭😭😭
2026-10-06 06:45:05
2
user5624100452297
user5624100452297 :
Justice for Raiyan✌️
2026-10-06 04:40:50
2
jamila.haji66
Jamila Haji :
[Crying][Crying][Crying]0
2026-10-06 05:42:33
1
alyhemedjr
alyhemedjr🩵 :
hakika huu ni msiba wa taifa allah amrahamu 🥺
2026-10-06 03:34:21
14
feisalbey
Feisal Bey👑🏹 :
tuugue pole wananchi wote wa mji wa wete na viunga vyake na PEMBA kwa ujumla na kila aliyeguswa na mkasa huu wa kusikitisha na kufikirisha tunaiyomba SEREKALI na mamlaka husika kutupatia mrejesho wa haraka sana na hatuna Kali zichukuliwe kwa wahusika wa UKATILI huu. Allah awape SUBRA wazee ndugu jamaa na familia kwa ujumla juu ya mtihani huu KWETU KUMEHARIBIKA SIO ILE PEMBA YA MIAKA YETU. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-06 04:48:18
10
chalayra6
chalayra :
naimia sana jmn wallahi mungu atupe mwisho mwema na walio fanya kitendo ichi malipo duniani alieua kwa upanga atakufa kwa upanga ya allahwalipe wanalostahili watu waliohusika inshallah
2026-10-06 04:02:35
6
thania8428
thania :
naumia mie hamuwez amin
2026-10-06 06:24:36
0
asmaa_honey12
asmaa_honey12 :
hatumpangii mungu lakin yarabiy tunakuomba uwashushie maumivu wa husika wa hili zaidi tunayoyasikia sisi😢😢😢
2026-10-06 03:43:57
6
.baby605
.salma😘 :
😭😭😭Allah amfanyie wepes katik kabur lake amuangazie nuru katik kabur lake na amkabidhi kitabu chake kwa mkono wa kulia Amin hakika tumeumia kwa hili Allah atujaliye subra sis na wazazi wake 😭😭
2026-10-06 03:42:02
5
user5459538132137
user5459538132137 :
innalilah wainailahi rajuun
2026-10-06 06:42:11
1
miss.zaina6
miss zaina :
Allah amlaze pema msiba wetu sote Afrika mashariki..nipo Kenya nahisi uchungu pia
2026-10-06 07:22:58
1
omarshaame3
Uncle :
Allah amjalie safar ya kher
2026-10-06 07:14:12
1
user26555029545706mamy
ALHAMDULILLAH ALA KULI HALI :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Wallah naumia
2026-10-06 04:42:17
3
babliy627
Bin Abdul :
😭😭nenda salama mtoto wetu Raiyyan waliokudhulumu wote Allah atapambana nao🤲
2026-10-06 06:32:00
4
To see more videos from user @betizaghassani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About