@poxkiller: #😂😂😂😂😂😂😂 #hhahababakakababajjaaj #dggcsss #hhahababakakababajjaaj

poxkiller
poxkiller
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 21:58:06 GMT
27184
1867
70
24

Music

Download

Comments

alinjunal
𝐀𝐋𝐈𝐍𝐉𝐔𝐍𝐀𝐋 𝟑𝐑𝐃_™✓ :
Ya MWANZA iyo
2026-10-07 04:14:23
1
patha.mwakiembe6
patha Deogratias :
Alafu sisi wazawa tunaona ni ya kawaida sana. wengine wanashuka na 80
2026-10-07 05:24:20
5
kelvin..tz26
Kelvin :
nimepamic home kagera😁😁
2026-10-06 07:43:15
0
travellerboy26
ᴛʀᴀɴꜱɪᴛ ʙᴏʏ🚛🇹🇿 🇿🇲 🇨🇩 :
apo Hua tunashuka tu
2026-10-06 01:55:45
4
rashidramadhan60
omhukayaaaa fans::: chimaguli :
daaaah katoma on firee
2026-10-06 04:44:31
1
balaka8166
WAKUJA 45 TZ :
Nimechezo tu
2026-10-06 12:41:35
1
amonijr4
AMONI LUHAMBATI JR :
hamna Cha kutisha apo
2026-10-06 12:02:48
1
user10551075786115
Beny chembo :
mi nilikoswa na haisi nikiwa napanda yenyewe inashuka we acha tu
2026-10-06 13:37:23
2
user6140242274746
g@nji boy260 :
oyaaah apo Noma kak chuma ilifel kule juu apo apo 2liacha ndala ila mungu ni mkubwa 🙏🙏 tulitoka salama
2026-10-05 23:03:14
2
mathewedward66
Mathew66 :
hiyo gari mpaka saiv bado hazijatolewa
2026-10-07 11:07:59
0
dukeyanga
007🤗 :
huku nilienda kufanya kazi kama mwezi mzima saidia fundi sikulipwa ata mia nlipewa ty nauli ya kuniludisha kamachum aisee mungu waguse mafundi wote wa nyumba[Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-06 07:13:51
1
ismailvenus
ismailhassan :
ndio nimbaya je kwagaliganii? kunazingine zinashuka na 12 miguu yote yabalidi mgongoni ina 33 tone kwahio lazima usema ni ainagani yagali
2026-10-07 11:25:44
0
dotto_travel
dotto_travel :
noma sana
2026-10-07 08:55:37
0
praygodkileo355
Praygod Kileo :
hahaahahahah Yani pox tatizo lako kubwa san
2026-10-05 22:22:09
1
user5496155490578
bitibila :
kiongoz naomba ulete maa adventure ya bukoba
2026-10-06 00:29:44
1
user1536304371194
jack der🛣 road life :
nimepita juzi 2 hapo ni noma mzee
2026-10-06 06:29:18
1
alinjunal
𝐀𝐋𝐈𝐍𝐉𝐔𝐍𝐀𝐋 𝟑𝐑𝐃_™✓ :
XT Ya MWANZA iyo
2026-10-07 04:14:42
0
alinjunal
𝐀𝐋𝐈𝐍𝐉𝐔𝐍𝐀𝐋 𝟑𝐑𝐃_™✓ :
2026-10-07 04:16:56
0
kyabuguta
Kyabuguta :
Kali ni hii, tulikuwa tunapanda hapo na LAND ROVER 109 kumbe inanywea kwenye kadumu ka Lita tano. wakati huo kulikuwa na shimo kibao, chuma kupiga shimo mlija siukatoka kwenya dumu. Chuma ikaanza kurudi nyuma, kilichotusaidia utingo alikuwa fundi akawai kurudisha pipe kwenye kadumu chuma ikapokea ⚙️mbele.
2026-10-06 11:37:24
0
anordamwesiga0
Anord A Aloys% :
mbon kona ya kawaida
2026-10-06 14:03:35
0
arishnyaronga
Arish .KJ :
ilianguka tank apo
2026-10-07 12:59:24
0
m_selah666
MJUKUU WA MADIBA :
ukiuchukulia poa umeisha
2026-10-06 13:13:56
0
mahululu3
FIONA :
naijua
2026-10-06 15:52:02
0
tbedits67
T&B EDITS :
Hii down ukianza kushuka inaonekana ya kawaida, ila mbele down inazidi kali
2026-10-06 15:11:51
0
ahmed293epw
Ahmed293 :
🤣🤣🤣Hatar
2026-10-05 22:07:09
0
To see more videos from user @poxkiller, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About