@championboreanaz: Sio kila anayekuacha amekuacha kwa sababu umemkosea. 💔 Wengine mioyo yao imejaa usaliti, hawajui thamani ya upendo wa kweli. Usijilaumu kwa mtu aliyeamua kukupoteza. 🥺❤️ #Mahusiano #Mapenzi #Upendo #Heartbreak #UkweliWaMapenzi
Ni bora kumuwacha Aende anapoona Kunampa Furaha maana kumuacha Unaempenda Aende kwa Anaempenda ni Busara kubwa sana kuliko kubaki sehemu Ambayo aina amani hta kidogo [Pray]
2026-10-06 07:20:33
0
Frank Magembe :
hamna
2026-10-06 12:19:11
0
ngosha :
mungu ndy mtoa hukum kaka me kama nilimpenda kwa dhat na akaniacha bs sina mamlaka ya kumpa adhabu huenda uko alpo enda ndo kaona sehem sahihi🥹
2026-10-06 11:17:42
0
Joel noah molel :
namsamehe tu bs
2026-10-06 09:06:19
0
muddy maisha 2$6 :
muache aende kama ulimchapa sana kitandqni
2026-10-06 09:38:45
0
To see more videos from user @championboreanaz, please go to the Tikwm
homepage.