@frankmavura: Kufanikiwa kifedha si suala la kupata pesa nyingi tu. Ni suala la kuwa na ujuzi unaoweza kukusaidia kutengeneza, kuzitunza hizo pesa na kuzikuza ziongezeke.💰 Kuna skills ambazo kila mtu anapaswa kujifunza kama anataka kuboresha maisha yake na kujenga financial freedom. Katika video hii tunazungumzia aina 10 za ujuzi muhimu wa maisha na fedha ambao unaweza kukusaidia kuongeza kipato, kufanya maamuzi bora, kujenga biashara, kuwekeza na kufikia malengo yako ya kifedha. Usisubiri mpaka uwe na pesa nyingi ndipo ujifunze. Jifunze kwanza, kisha tumia ujuzi huo kutengeneza pesa. 💬 Kati ya hizi skills 10, ni upi unaona unahitaji kujifunza zaidi? Andika namba yake kwenye comments. #financialfreedom #financialliteracy #frankmavura #moneymindset #personaldevelopment

Frank Mavura
Frank Mavura
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 03:16:27 GMT
15914
1743
31
66

Music

Download

Comments

wanzukicomedy1
WANZUKI💫💫⭐️ :
🥰🥰🥰asanteh chief
2026-10-06 03:26:25
7
jrtravecy2
Travecyjr :
nishaongeza kitu kipyq katika siku ya Leo, shukrani 🙏🙏
2026-11-18 20:55:18
1
moo.click
Moo click :
Mtu Makini kabisa.
2026-10-06 04:31:32
2
freedom4nt
☯︎ :
2026-10-06 03:23:49
3
afyaboraclinic27
Afyaboraclinic🩺💊 :
Thanks 🙏 mkuu for lessons
2026-10-06 06:28:10
0
dominics010
Dominics :
Asant xan anko mim na Miaka 19 Nahitaj kubadilika
2026-11-09 09:51:23
0
langa..tz
langa boy :
thank's bro I wish you All the best
2026-10-06 18:50:38
0
joohmaliss
jose xing :
wewe ni mtu muhimu sana kwangu
2026-10-06 20:03:12
0
daveemmanuel189
daveemmanuel :
1.SALES
2026-10-06 22:00:49
0
orediamisi939
[email protected] :
mavura 🔥
2026-10-06 04:56:58
0
makii4251
makii :
makini sana 🫡
2026-10-06 14:57:30
0
eanakwi
billionaire akwi :
2026-10-06 16:38:23
0
user9629701661136
abdul nuru :
قتلك
2026-10-06 07:45:43
1
ally_mdoka
king 👑 mdoka🤳 :
kw nini Kila kitu inakua ni 10 tu
2026-11-03 19:40:08
1
anko.masai
anko Masai :
🤝🤝🤝
2026-10-06 03:23:29
2
zago1111111
MIKAZO :
🥰🥰🥰
2026-10-06 04:26:45
1
use2026ww
Jen 🇹🇿 & 🇩🇪 💍 :
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-10-06 04:36:03
1
pkasonso257
Bangeda£¢€¥π° :
🏇🏇
2026-10-06 03:49:23
2
berthamarco2
berthamarco600 :
mbona unaniogopesha rafiki katika maisha☺️
2026-10-06 10:01:34
1
abdul_italian_guide07
abdulaziz msuya :
💯💯💯
2026-10-27 20:31:34
0
richard670224
Richard670224 :
👀👀👀
2026-10-06 04:57:09
0
fortress618
Fortress :
😁😁😁
2026-10-06 17:26:03
0
revodeo814
RevoDeo :
MUNGU akupe maisha marefuka maana unatufunza mengi sana
2026-11-05 20:25:27
0
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About