@abdulhamidnyota: MLILIE ALLAH PEKEE UONE AJABU #tiktoklive #daresalaam #mombasatiktokers

Abdulhamid
Abdulhamid
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 03:38:33 GMT
8535
871
16
58

Music

Download

Comments

mamyabdull
mamyabdull :
Ustadh mm biashara kwakweli , jee hio hio nitilie Nia tu ? Shuqraan Mmungu akulipe khery kaka angu
2026-10-06 03:55:16
2
user3968033431444
Asha :
ustadh naomba unisaidie dua ya kimrejesha mume yumbani
2026-10-06 06:56:18
1
ummy.ahmad5
Ummy Ahmad :
Mbona mie kila nikiomba sifanikiwi ama kuna pahala nakosea nisaidie shekh
2026-10-06 10:36:55
0
rahma.mussa43
Rahma Mussa :
Je naweza kuanza kwa kuisoma hyo aya moja kwa moja au mpk nianze kusoma mwanzo?
2026-10-06 09:16:26
0
user234740973656
user234740973656 :
asalam aleykum warahmatullah ustadhi naomba dua ya kuwadhibiti makopera maana
2026-10-06 11:36:13
0
kingslow04
SLOW BO :
mi nna ndugu yangu nataka kujua Tu Yuko wapi na yuwafanya nn.....
2026-10-06 07:37:02
0
ashrey469
ashrey :
kwa cku ngapi?
2026-10-06 10:58:46
0
diaby_2928
@Diaby_A1🇹🇿 :
mpenzi wako haifai?
2026-10-06 05:24:05
1
ashunswaleh
ashunswaleh :
je kama ni mtalaka watoka kumrudisha wafa kusoma
2026-10-06 08:02:20
0
naju31529
Naju :
🥰🥰🥰
2026-10-06 03:55:35
1
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About