@street_to_street: MWANZA NA SAMAKI NI MAPACHA 🐟😂 Lakini siku hizi bei za samaki zimepanda mpaka wengine tunaanza kuangalia tu kwa mbali 😂💔 Wewe upo Mwanza lakini umefika muda gani bila kula samaki? Na kwako samaki wa bei gani ndiyo unaona ni ghali? 👀🐟 #Mwanza #MtaaKwaMtaa #SamakiMwanza #MwanzaLife #Tanzania
Mtaa kwa Mtaa
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 03:51:36 GMT
Music
Download
Comments
FAU60 :
ni mwendo wa nchima
2026-10-06 09:13:53
10
Nai👌 :
nimepamis mwanz
2026-10-19 18:01:49
0
jofrey 124 :
h baba
2026-10-06 12:18:14
2
aguero3d :
na mwaka
2026-10-06 04:54:45
4
miss nunu 💕 :
samaki gani mana sikuelewi kama nipo Mwanza
2026-10-06 09:47:45
2
Abdulikhalid Khalid :
akamatwe😂
2026-10-06 08:47:23
3
scoooott :
vigorofa vidogovidogoo
2026-10-09 12:36:18
0
Gifty beauty 🍒🩵 :
Mie 🥰
2026-10-19 10:57:49
0
Bahati Charles :
samaki Gani
2026-10-06 05:10:29
2
TRICE DULLY...💕 :
Mie dear
2026-10-06 04:08:03
2
mohamed seif :
mimi apa nipo nimefungwa gerezani
2026-10-06 11:51:46
3
Lau khan Jr ⚽🎧 :
furu n samaki pia au?
2026-10-06 13:37:34
2
Vicent Festus :
big city
2026-10-06 09:16:33
1
end jm :
swali ni kwamba na furu nao ni samaki kama ni samaki mm mbn kila siku wakuuu🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 18:03:17
3
pasco the boyuser1022091469181 :
mwaka wa pil sasa
2026-10-06 16:36:14
1
YOHANA @mail. :
miaka 5 sas
2026-10-06 16:41:16
1
DJ TERRY❤️❤️🔥🇹🇿 :
mimi hapa
2026-10-06 19:08:25
1
J. king :
na mim😁🤣😂😅 ni mmoja wao
2026-10-06 10:50:16
1
P Kabunga :
tupo weng mno
2026-10-06 09:28:30
1
masiliva :
kama kweliiiii
2026-10-07 05:21:19
2
bj @ boy :
WEWE HAPO KAMA SIO WEWE UMEJUAJE KAMA WATU HAWALI SAMAKI KWA MDA MREFU AU NAKOSEA WAKUU😅😅😅😅
2026-10-06 16:26:01
2
Aloni a petroo :
wap kwasababu ya bomowa bomowa wanakosa pakununuwa kama hujui wanapo jiuzia
2026-10-06 18:34:27
2
Bright Station network :
someone closing on my screen
2026-10-06 05:32:18
1
tolonto :
kama dagaa nao nisamaki baaas!!! umemaliza daily
2026-10-07 11:12:24
1
abdul@@12 :
ata saivi nimemariza kuyira usiku
2026-10-16 20:19:46
0
To see more videos from user @street_to_street, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.