@shadyaramso: LEO TUTAZUNGUMZIA ZAIDI WATU WENYE NYOTA KALI NAMAANISHA HAULA AU MVUTO UKIENDA MAHALI FLANI NYOTA YAKO INAWEZA KUZUNGUMZA KABLA HATA HUJAFUNGUA KINYWA CHAKO JE UTAJUAJE KAMA UNA NYOTA KALI AU YA KAWAIDA! SOMA HAPO CHINI👇👇👇 🌟Mtu mwenye nyota kali hupendwa sana na watoto wadogo wengine hata asiowajua wanamchangamkia sana Majini/Ruhan humtambua akiingia mahali penye nguvu za kiroho. 🌟Bahati yake huchelewa na anapitia magumu sana mwanzoni lakini akifanikiwa basi atafanikiwa kuliko yeyote hachanganyikiwi na uwingi wa watu anapenda sana kukaa peke yake kelele za watu zinamchosha haraka akikasirika maneno yake yana nguvu akisema utaona basi utaona kweli vita yake hapigani yeye 🌟Wanyama humtambua paka mbwa na hata ndege humfuata au kumkimbilia karibu yake na ndoto zake akiota zinatimia watu humuonea wivu bila hata sababu macho yake yanavuta akikupiga jicho unaweza hisi kama anakuchunguza rohoni 🌟Anaonekana kung'aa katka jamii uwepo wake utambulika zaidi ana nguvu ya kuhamasisha wengine na watu hupenda kumsimiliza mambo yake huenda mbele baada ya kupitia vikwazo ghafla hupata watu wenye ushawishi ambao wanaweza kumfungulia milango 🌟Ana mvuto wa pekee unawavuta watu kutaka kumjua zaid uheshimiwa na watu hata kama hajajitambulisha mwenyewe Bahati humfuata maara nyingi hupata fursa au msaada kwa wakat hujiamini na kuwa na msimamo katka mambo yake huvutia watu hata bila kujitahid kuongeaongea ili atambulike.. 🌟Hayo ni machache nilojaaliwa kukuletea leo ili kujitambua nyota yako ni kali au ya kawaida tuaambie kwenye comment nitasoma na kukujibu na kama nyota yako imefungwa nilishaelezea vipindi vya nyuma Tiba zipo usiogope kuanza leo Kutizama Lamli au utabiri ni elf10 tu ☎️+255686166662
Mm hua dalili zote ninazo Ila mausiano yangu yanakua hayana aman na watu wanaweza kua marafiki zangu kumbe wananichukia
2026-10-06 08:44:36
20
Gift wa Ukwee Cake 🎂🎂 :
it's Me 😍
2026-10-06 11:34:28
1
Hawaa❤️❤️ :
me Ata sijui n seme nn walai 🥺😭😔🥺 nachoka sijui n hiyo nyota au n nn watu wananikasirikia bila sababu
2026-10-06 12:42:39
3
Ummu Asmakhan005 :
maneno yako yanaendana na mimi kabisa
2026-10-06 09:32:23
2
ALAM :
dada shadya... vipi kama mtu anaota anapigana na viumbe au jeshi alafu vinamzidi, Kisha anadondoka then Kuna jeshi la malaika mmoja alikuja akiwa anawaka sana mweupeeee anaota mwale mweupe akanibeba ... ila pindi aliposhuka tu wale watu au jeshi lile lote likafa bila kugusa chochote na hajawafanya chochote....
hii ndoto ina maana gani???
Maana nilikuwa na tabia ya kusoma surat Yaasin na Surat al mulk, Kila siku kabla sijalala
2026-10-06 09:29:26
3
Mamy eyyah💖💞💖 :
Na mm pia napiti sana wakat mgumu ila namini ipo siku M/mungu atanifanyia wepesi maan nna bahat w2 wengine wananipend bula ya sababu ila wengin pia wananichukia bila ya sababu na napendwa sana na watoto pia
2026-10-06 10:14:12
5
Zein :
Allah atujaalie tuwe waja Wema......
2026-10-06 07:27:52
2
hatun :
Scorpio
2026-10-06 07:16:22
2
boss lady 001 :
mm wananiita mchawi na sipendi kukaa karibu na mtu ata nikiwa kwenye shida sisemi na mtu nikiota ndoto inatimia adi naogopa kuxema ata nikifiria kitu imagn ina happen adi mm mwenyewe najiogopa ila Mungu kanibariki na Mume anaenielewa imagn ata ukinidanganya nafsi inaniabia hii yagu ni too much
2026-10-06 17:33:26
1
Nay princess😜 :
Huyu n mm kabisaa ila napitia mara nyingi wakati mgumu
2026-10-06 09:37:46
1
Catty_Mehrish :
ALHAMDULILLAH mimi ni mmoja wao , i wish ningeeleza kisa cha kweli na maono niliyoyaona , all in all ALLAH shahidi na anaweza kumfanya mja wake anavyotak ila inategemea na maombi yako kwake na kufanya mambo mema ata kama ikiwa kwa siri , pia ukiwa na moyo safi WALLAH utaona vingi na mafanikio pia , ALLAHU ALBAR. ❤️❤️❤️
2026-10-06 08:25:47
1
happydecute4 :
Tatzo tunarogwa sana 😂
2026-10-06 07:59:12
2
zeymuya :
jamn huyu ni mimi
2026-10-06 07:07:57
1
Princess :
ni sahihi kbsaa
2026-10-06 07:46:18
1
ant may :
shadya niliota ndoto nipo na dada zangu jumla tulikua watatu dada anagawa pesa sarafu kwa watoto mimi na dada tunagawa chakula wali wa bila mboga nisaidie ndoto hii inamaana gani
2026-10-06 11:14:16
1
asia beauty point :
hiyo ya wanyama na ndege kuna siku nilikua napita nikashangaa kanga wanapiga kelele na kuanza kunifuata njiani majirani wakawa wananishangaa 😁🤲😂
2026-10-06 12:14:01
1
Sara Othman :
Ah! sina say😁🥰
2026-10-06 14:04:42
1
Mamy eyyah💖💞💖 :
vp km kila ukikaa unakua n hofu ya M/mungu unawaza siku yangu mm sjuw lin yan unakua ukikaa kwa siku haiwez pita ukawaza mazingira ya akher yako itakuaje hii inakuaje
2026-10-06 10:12:12
1
Kelly juma :
mmhhh mie uy kabisaa
2026-10-06 08:31:41
1
king_omar :
Alhamdulillah yoote ninayo mpaka najiogopa mimi watoto na paka navipenda saana kuna siku paka kaja kujikuna kwenye miguu yangu nilifurahi ingawa nilikuwa namuogopa asije kunipara na kucha zake, nilimuacha acheze halafu akaondoka, nikienda sehemu inakuwa All eyes on me! mpaka unasema ukienda mahala inabidi nijikoki kwa viwalo vizur maana watu wengi wataniangalia mimi sasa ndio nimegudua kuwa ni nyota!
2026-10-06 09:43:35
1
Rukiya ahmed :
biashara yangu ilikuwa iko vizuri mara ikashuka kabisa mpaka nikafungua biashara nyingine ili inisaidie kuinua ile ya kwanza hiyo ilikufa kabisa mpaka niliifunga nikabaki nahii biashara yangu ya mwanzo inaamka inapungua kabisa inaamka tena ila nikitaka kuiacha yani kuna roho 2 moja inaniambia usijalibu kuacha fanya subra itakuwa sawa nyingine inaniambia iache unapoteza mda lakini ndio inanissidia kwa kila kitu hebu nishauli napia watoto wananipenda sana
2026-10-06 17:07:02
0
Princess :
kuna siku nimeota niko nimekaa na viongoz wa nchi za njee kweny ukumbi mmoja mkubwaa na meza ilikuwa ndefuu je inaweza timia hio au ina maan gni?
2026-10-06 08:05:59
1
Princess :
pia kuna waktii nasikiaga sauti za watuu wakiongeaa lk. sipo kalbuu nao na siwaoni hao watuu wanaongea na kuna mda mwingine sielewi wanaongea nn ila nasikia wakiongea
2026-10-06 08:18:16
2
Kill Man🌹🔪 :
samaahan mimi sitambui nyota yangu ni ipi sikuwahi tambua mpaka Sasa je nitajuaje
2026-10-06 06:54:54
2
To see more videos from user @shadyaramso, please go to the Tikwm
homepage.