@rodifelix16: Je, unamkumbuka huyu mwamba wa "Disco Dancer"? 🕺💥 ​Wengi tunamfahamu Mithun Chakraborty kama nguli wa filamu za Bollywood aliyeiteka dunia miaka ya 80 na 90 kwa madoido yake ya kucheza muziki na kuigiza. Lakini je, unajua kuwa kabla ya kuwa nyota wa filamu, alikuwa mwanachama wa kundi la kigaidi/kiharifu? 😱 ​Akiwa kijana wa chuo kikuu, Mithun alijiunga na vuguvugu la silaha la Naxalites nchini India kutokana na ushawishi wa kisiasa na ugumu wa maisha. Hata hivyo, kifo cha ghafla cha kaka yake kilimfanya ajitafakari upya, aamue kuacha kabisa harakati hizo za hatari, na kukimbilia Mumbai kuanza maisha mpya yaliyomfikisha kwenye kilele cha sanaa! ​Tazama historia hii fupi na utupatie maoni yako! 👇 ​#MithunChakraborty #DiscoDancer #BollywoodLegends #MicroTV #FilamuZaHindi

Lord_FELICIAN🤴
Lord_FELICIAN🤴
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 05:29:08 GMT
27382
2083
20
15

Music

Download

Comments

alvinhamad
Alvin Hamad :
I'm a disco dancer 🎵🎵🎵
2026-10-06 06:28:05
2
johnjoofficial
johnjoofficial :
Unawakosea Sanaa nyota mkubwa Sanaa unamuelezea kwa mda mfup sanaaaa
2026-10-07 04:40:49
6
princenovvi
Princeé Nõvvì🇰🇪🇨🇩✨️🔥 :
unamanisha huyu ndiye aliye kuwa baba Akish Kumar kwa filamu ya The Boss
2026-10-06 06:43:54
3
niccah17
mrs kade stopper💕😘 :
ni marehemu saiv amefariki 2024
2026-10-08 19:51:15
2
rassie73
rassie :
sema lilikuwa lizur
2026-10-07 20:16:44
1
hmd.1221
Hmd 1221 :
2026-10-06 07:13:22
0
estacheobedi
Estache Obedi@ :
okok
2026-10-06 11:25:29
1
officialpelican6
Nana :
n marehemu kwa sasa
2026-10-06 13:39:58
1
pascal_tusome243
Pascal_Tusome243 :
mbona ameshaka fariki
2026-10-06 10:22:40
2
bestswordman1
H I L A L 🐲🐉 :
mbona tumeskia kua uyuu jamaa kashadanjaa au sio kweli?
2026-10-06 12:35:15
2
moudy4510
love its :
😂😂😂
2026-10-06 05:45:20
1
hosea.juma0
Hosea Juma :
😳😳😳
2026-10-06 18:13:54
0
ma2pa65
Matupa genius :
😳😳😳
2026-10-06 14:21:54
0
To see more videos from user @rodifelix16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About