Kuna Wangu ndo kwanza Anani tusi juu ya history yangu ya zamani 😔😔
2026-10-06 12:53:37
5
josephina :
ivi kumbadisha mwanaume inawezekana
2026-10-06 09:53:36
2
𝑫𝒊𝒄𝒌𝒔𝒐𝒏 𝑴𝒐𝒎 :
Nikiongea apa mwanaume wang niliyenae tulikutana wapi mtalia But mungu Asiwah mpungukia kwa chochote😭
2026-10-06 15:09:55
13
short.girl837 :
Main hata aibu huyu wangu aliponitoa ila amenibasilisha huwa haamin kama ndo mimi
2026-10-06 16:07:45
2
Last☆born♡💍🫶 :
Hv mtu akigoma kumbadilisha je naww hutak mwenendo wake na bado unampenda je nini kinafata 🔥🔥🔥
2026-10-06 06:12:12
4
Monicah🇹🇿🩶 :
Amna mtu ambae hana historia chafu wakuu lakini mtu anakubeza na vitu vilivyo pita huyo mtu hawezi kukubadilisha wallah ndokwanza anakuongezea historia 😔😔😔😔
2026-10-08 10:34:24
0
Groly💙g :
2026-10-06 08:36:57
2
Mney♥️ :
imeniuma kaka sana atamimiyalinikitaet😁😁😂
2026-10-06 19:38:56
1
Sucroz Daic :
@Sucroz Daic:wakina mwajuma hawabadilishiki kaka
2026-10-09 08:17:46
1
CostansiaHd :
fact
2026-10-06 14:52:20
1
Rebystar Robbyz :
makofi🫡👏
2026-10-06 17:10:04
1
💦it's Dee💦 :
nataman niseme kitu
2026-10-06 08:41:08
4
The girl 🥰🥰 :
huyu ni my man na ata umwambie nn daima atasimama upande wangu 😂😂 nampenda mungu amtunze sana 🥰🥰🥰 i love you dady
2026-10-06 16:59:13
6
yuu girl :
kweliiii baba
2026-10-06 14:24:08
1
min🎀timmy🤍✨🫧🦋 :
kweli
2026-10-06 13:33:45
1
im_°mahseen :
😅
2026-10-06 18:34:37
1
Maah :
Fact❤️🥰
2026-10-06 18:43:49
1
zuurama :
tangaza kote kaka....mie mbaya lakini vita yangu kali sana nasemwa vibaya nakutaknwa duuh YESU anisaidie
2026-10-06 19:43:11
3
angie gold🐾 :
2026-10-06 08:19:53
2
Oscar The Beast🐾 :
sa kama aambiliki unafanyaje kama ni ww
2026-10-06 16:54:20
1
Essy🌸💦 :
Mungu ambariki uyu kaka alinitoa kwenye shimo mpaka nikawa mtu miongoni kwa watu alinibeba mpaka kwenye maombi🥹❤️Mungu atamlipa tuu akutaka kujua history yangu ya nyuma wala nini alinibadilisha mwenyew
2026-10-07 15:57:21
1
𝑲𝑩 𝑗𝑟²⁶ :
ningesema k2 tatizo mta view profile
2026-10-06 20:38:30
1
Famih :
Hapo kwenye kumbadirisha toa weka mpende hivyohivyo kila mtu anamadhaifu yake🥰
2026-10-07 10:46:22
1
💫empressy💞 :
dah
2026-10-06 12:51:14
1
To see more videos from user @greet.thinking, please go to the Tikwm
homepage.