@fahuzazi.solution: Dada yangu, mwili wako hua HAUSEMI UONGO! ​Unapoona mabadiliko kwenye UTELEZI wako wa ukeni, ... hiyo ni njia ambayo mwili wako unakupa taarifa kuwa kuna kitu hakipo sawa. Hivi ni mara ngapi umeona ute/ Uchafu Wa tofauti ukitoka ukeni halafu ukajiambia "Hii ni kawaida tu tutaona kesho"? Unapoona mabadiliko kwenye utelezi wako wa ukeni, hiyo ni njia ambayo mwili wako unakupa taarifa kuwa kuna kitu hakipo sawa. 📌 Zingatia Hizi Rangi 4: ⚪ 1. MWEUPE: Ukikiwa wa kawaida na hauna harufu wala muwasho, uko salama. Lakini ukiwa mzito kama mtindi/maziwa yaliyoganda ukiamatana na muwasho, hiyo ni ishara ya Fangasi ukeni! 💧 2. WA UWAZI (CLEAR): Huu unaoteleza na kuvutika ni mzuri sana! Huongezeka wakati wa kupevusha mayai (Ovulation) au wakati wa msisimko. 🟡 3. WA NJANO: Ukikolea sana, una harufu mbaya na maumivu wakati wa kukojoa au tendo, ni ishara ya maambukizi (Bacterial Vaginosis/UTI). 🟢 4. WA KIJANI: Huu sio wa kawaida kabisa! Ukiambatana na harufu mbaya na maumivu chini ya tumbo, unahitaji vipimo vya P.I.D na STI haraka sana! Sio tu kwamba kupuuzia mabadiliko haya kinakunyima amani, bali pia Maambukizi haya yakikaa muda mrefu bila kutibiwa: ❌ Yanasababisha kuziba kwa mirija ya uzazi (Fallopian Tubes). ❌ Yanaharibu uwezo wa kubeba ujauzito. ❌ Yanakupa msongo wa mawazo unaovuruga mzunguko wako wa hedhi! ​Acha kuonea aibu afya yako! Tiba ipo na inatibu chanzo. ​📲 WhatsApp kwa ushauri na matibabu: +255 624763329 #fyppppppppppppppppppppppp #VaginalHealth #AfyaYaMama #Women #mamanishujaa

FAH UZAZI SOLUTION🩺
FAH UZAZI SOLUTION🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 06:22:13 GMT
4912
20
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @fahuzazi.solution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About