kwetu bukoba apo focas akifanya yake ama kweli old is gold
2026-10-06 18:04:39
73
kikomarz :
good old days 😭
2026-10-06 21:41:42
0
kisundakapeta45 :
hatari sana kitambo hiyo aisee ww utaiona pepo[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Pray]
2026-10-06 14:35:22
1
I am disappointed😢😢 :
jmn[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-06 12:00:51
0
leah :
mwaka 1998 tunacheza shoo daah nagauni langu la sukarisukari
2026-10-06 16:08:25
34
~~Mkunda :
name of the song please 🙏🙏
2026-10-06 20:22:46
0
rukia54787 :
jina la hii beat jaman
2026-10-06 17:47:24
4
claudia :
enzi izo nilikuwa nalilia kuwa mtoto wa bibiharusi nikae mbele. uwii 🤣
2026-10-07 11:17:34
4
A d s :
dj cheza focas ni noma sana bukoba moja hapo daaah
2026-10-07 06:04:15
8
Arish .KJ :
hii beat ya radio tumani apo ujue wanaanza kuchambua matukio ya tarehe kama ya Leo.
kipindi kilikua kinaitwa leo zamani. akiwepo tom mwana wa chilala,grace kabogo, scholastica mazula.